Ali Larijani
Ali Larijani Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran yaani Bunge amesema , leo taifa la Iran linafakhari kuwa, kwa uwezo wake wote limeweza kulisaidia taifa la Palestina katika kipindi chake kigumu zaidi.
Habari ID: 1443997 Tarehe ya kuchapishwa : 2014/08/28
Daktari Erik Fosse kutoka Norway ambaye yuko katika eneo la Ukanda wa Ghaza linalozingirwa na utawala haramu wa Israel kwa miaka kadhaa sasa, ameukosoa vikali utawala huo ghasibu kwa kutupa mabomu yenye kusababisha maradhi ya saratani dhidi ya wananchi wa Palestina walioko katika eneo hilo.
Habari ID: 1429754 Tarehe ya kuchapishwa : 2014/07/14