Jinai za Israel
AL-QUDS (IQNA) - Idadi ya misikiti iliyoharibiwa katika mashambulizi ya anga ya utawala haramu wa Israel katika Ukanda wa Gaza inakaribia 50.
Habari ID: 3477815 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/10/30
Chuki dhidi ya Uislamu
LONDON (IQNA) - Msikiti mmoja huko Oxford umelengwa na "shambulio la chuki dhidi ya Uislamu na kigaidi" kufuatia jamii ya Waislamu kuunga mkono Wapalestina wanaoteswa na Israel huko Gaza.
Habari ID: 3477812 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/10/30
Kimbunga cha Al Aqsa
TEHRAN (IQNA)- Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa limepasisha rasimu ya azimio lililopendekezwa na nchi za Kiarabu na kutaka kutekelezwa usitishaji vita wa kibinadamu haraka iwezekanavyo huko Ghaza.
Habari ID: 3477803 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/10/28
Jinai za Israel
TEHRAN (IQNA)- Ofisi ya Habari ya serikali huko Gaza Palestina imetan gaza kuwa, idadi ya Wapalestina waliouawa shahidi tangu utawala haramu wa Israel ulipoanza kufanya mashambulio mauaji ya kimbari katika Ukanda wa Gaza mnamo Oktoba 7 imepindukia 7000 huku makumi ya maelfu ya wengine wakiwa wamejeruhiwa au kutoweka.
Habari ID: 3477797 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/10/27
Kadhia ya Palestina
LONDON (IQNA) - Wazayuni hawawakilishi Uyahudi na wanataka "kuwaangamiza" watu wa Palestina, kuhani mwenye makao yake nchini Uingereza anasema huku kukiwa na mashambulizi ya Utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Ukanda wa Gaza yakiwa yamesababisha vifo vya zaidi ya Wapalestina 7,000 wengi wakiwa ni wanawake, watoto na wazee.
Habari ID: 3477793 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/10/27
Kimbunga cha Al Aqsa
TEHRAN (IQNA) - Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza kuwa: Licha ya uungaji mkono wa watu waovu wa dunia na ushiriki wa Wamarekani katika uhalifu wa Wazayuni, ukatili na jinai hizi hatimaye hazitafua dafu, na katika kadhia hii na nyinginezo zijazo, ushindi utakuwa upande wa taifa la Palestina.
Habari ID: 3477788 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/10/25
Taarifa Muhimu
TEHRAN (IQNA) –Wahadhiri 9,200 wa vyuo vikuu vya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran wamelaani vikali ukatili wa utawala dhalimu wa Israel katika eneo la Palestina lililozingirwa la Ukanda wa Gaza.
Habari ID: 3477783 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/10/24
Kimbunga cha Al-Aqsa
TEHRAN (IQNA) - Kiongozi wa juu wa kidini wa Waislamu wa madhehebu ya Shia nchini Iraq ametoa mwito kwa Waislamu kote duniani kuwaunga mkono, kuwahami na kuwasaidia wananchi wa Palestina, wakati huu ambapo utawala wa Kizayuni wa Israel unaendelea kufanya mashambulizi ya kikatili dhidi ya wakazi wa Ukanda wa Gaza.
Habari ID: 3477709 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/10/10
GAZA (IQNA) - Tangu kuanza kwa mashambulizi ya kijeshi ya utawala haramu wa Israel dhidi ya Ukanda wa Gaza tarehe 7 Oktoba, utawala huo dhalimu umeshambulia kwa mabomu na kuharibu misikiti saba katika eneo hilo la Palestina lililozingirwa.
Habari ID: 3477708 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/10/10
Kadhia ya Palestina
TEHRAN (IQNA)-Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyid Ali Khamenei amesema utawala wa Kizayuni wa Israel utachapwa "kibao kikali zaidi" kwa mauaji inayoendelea kufanya dhidi ya wananchi wa Palestina katika Ukanda wa Gaza iliouwekea mzingiro.
Habari ID: 3477707 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/10/10
Jinai za Israel
TEHRAN (IQNA) – Jeshi katili la Israel siku ya Jumamosi lilianzisha mashambulizi ya anga kwenye Ukanda wa Gaza, na kuua Wapalestina wasiopungua 198, wakiwemo wanawake na watoto, katika eneo hilo.
Habari ID: 3477699 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/10/07
Jinai za Israel
AL-QUDS (IQNA) - Vikosi vya wanamaji vya jeshi la utawala katili wa Israel vimewajeruhi takriban wavuvi wawili wa Kipalestina baada ya kushambulia boti kadhaa katika pwani ya kaskazini ya Ukanda wa Gaza unaozingirwa.
Habari ID: 3477674 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/09/30
Harakati za Qur'ani
Mkuu wa Kituo cha Dar-ul-Quran na Sunnah cha Gaza huko Palestina amesema zaidi ya wahifadhi 1,000 wa Qur'ani Tukufu wanatarajiwa kuhitimu kutoka kituo hicho mwishoni mwa majira ya kiangazi.
Habari ID: 3477117 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/06/08
Mapambano
Duru za utawala wa Kizayuni wa Israel zimethibitishwa kuwa, wanajeshi watatu utawala huo wameangamizwa wengine kadhaa kujeruhiwa katika shambulio la risasi kwenye mipaka ya Misri na Palestina inayokalia kwa mabavu ambayo imepachikwa jina bandia la Israel
Habari ID: 3477103 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/06/05
Jinai za Israel
TEHRAN (IQNA)- Jeshi la utawala katili wa Israel lilishambulia maeneo ya Lebanon na Palestina katika Ukanda wa Gaza mapema Ijumaa, kufuatia kuvurumishwa makombora ya kulipiza kisasi kutoka Gaza na Kusini mwa Lebanon kutokana na mashambulizi ya kinyama ya utawala huo dhidi ya waumini wa Kipalestina ndani ya Msikiti wa al-Aqsa katika mji unaokaliwa kwa mabavu wa Quds (Jerusalem).
Habari ID: 3476825 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/04/07
Harakati za Qur'ani Tukufu
TEHRAN (IQNA) – Toleo la tano la semina kuhusu miujiza ya kimatibabu ya Qur'ani Tukufu ilianza katika Mji wa Gaza.
Habari ID: 3476710 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/03/15
Jinai za Israel
TEHRAN (IQNA)- Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya Kuratibu Masuala ya Kibinadamu (OCHA) imesema zaidi ya Wapalestina milioni mbili huko Gaza (Ghaza) wanateseka kutokana na mzingiro wa miaka 16 wa utawala haramu wa Israel dhidi ya eneo hilo.
Habari ID: 3476492 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/01/31
Jinai za utawala haramu wa Israel
TEHRAN (IQNA)- Januari 19 inatambuliwa katika kalenda ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kuwa ni "Siku ya Ghaza" kwa mnasaba wa kumbukumbu ya vita vya siku 22 vya utawala haramu wa Israel dhidi ya Ukanda wa Ghaza (Gaza) huko Palestina.
Habari ID: 3476430 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/01/19
Wapalestina wa Gaza
TEHRAN (IQNA) – Katika sherehe huko Gaza, wafungwa 77 wa Kipalestina ambao wameweza kuhifadhi Qur’ani Tukufu wameenziwa.
Habari ID: 3476180 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/01
Kuhifadhi Qur'ani Tukufu
TEHRAN (IQNA) – Katika sherehe katika ardhi ya Palestina ya Ukanda wa Gaza, wahifadhi 143 wa Qur’ani Tukufu wametunukiwa zawadi katika sherehe iliyohudhuriwa na idadi kubwa ya watu na maafisa wa serikali.
Habari ID: 3476011 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/10/31