Katika hatua ya kushan gaza , Ban Ki-moon, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amekataa kuuoredhesha utawala haramu wa Israel na ambao unaendelea kuua watoto wa Ukanda wa Gaza, katika orodha ya tawala zinazovunja haki za watoto duniani.
Habari ID: 3312923 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/06/10
Wakimbizi Wapalestina walio katika nchi mbali mbali duniani wanakabiliwa na matatizo makubwa sana. Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi wa Kipalestina (UNRWA) limetoa onyo kuhusu hali mbaya sana ya wakimbizi Wapalestina.
Habari ID: 3023920 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/03/22
Ban Ki-moon, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ametan gaza kuwa, kumeundwa kamati ya uchunguzi kuhusiana na jinai za utawala wa Kizayuni wa Israel katika ukanda wa Gaza.
Habari ID: 1472788 Tarehe ya kuchapishwa : 2014/11/13
Ali Larijani
Ali Larijani Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran yaani Bunge amesema , leo taifa la Iran linafakhari kuwa, kwa uwezo wake wote limeweza kulisaidia taifa la Palestina katika kipindi chake kigumu zaidi.
Habari ID: 1443997 Tarehe ya kuchapishwa : 2014/08/28
Daktari Erik Fosse kutoka Norway ambaye yuko katika eneo la Ukanda wa Ghaza linalozingirwa na utawala haramu wa Israel kwa miaka kadhaa sasa, ameukosoa vikali utawala huo ghasibu kwa kutupa mabomu yenye kusababisha maradhi ya saratani dhidi ya wananchi wa Palestina walioko katika eneo hilo.
Habari ID: 1429754 Tarehe ya kuchapishwa : 2014/07/14