IQNA

Kiongozi Muadhamu atembelea Haram ya Imam Khomeini MA na makaburi ya mashahidi

12:59 - January 31, 2021
Habari ID: 3473607
TEHRAN (IQNA) - Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu aidha amezuru makaburi ya mashahidi wakuu watajika yaani Beheshti, Rajaei, Bahonar na mashahidi wa tukio la tarehe 7 mwezi Tir mwaka 1360 Hijria shamsiya na kumuomba Mwneyezi Mungu awainue waja wake hao.

Ayatullah Khamenei amezuru pia makaburi ya mashahidi mashuhuri na kuziombea roho takatifu za watetezi hao wa Uislamu na Iran. 

Leo Jumapili tarehe 12 Bahman sawa na tarehe 31 Januari mwaka 2021 Miladia ni siku ya kuanza Alfajiri Kumi za maadhimisho ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran. 

Miaka 42 iliyopita katika siku kama ya leo, yaani tarehe 12 mwezi Bahman mwaka 1357 Hijria Shamsiya sawa na Februari Mosi mwaka 1979 Miladia Imam Khomeini (MA) Mwasisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran baada ya kuwa uhamishoni na mbali na nyumbani kwa miaka 14 alirejea katika Iran ya Kiislamu na kulakiwa na umati mkubwa wa wananchi. 

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu aidha amezuru makaburi ya mashahidi wakuu watajika yaani Beheshti, Rajaei, Bahonar na mashahidi wa tukio la tarehe 7 mwezi Tir mwaka 1360 Hijria shamsiya na kumuomba Mwneyezi Mungu awainue waja wake hao. Ayatullah Khamenei amezuru pia makaburi ya mashahidi mashuhuri na kuziombea roho takatifu za watetezi hao wa Uislamu na Iran. 

Leo Jumapili tarehe 12 Bahman sawa na tarehe 31 Januari mwaka 2021 Miladia ni siku ya kuanza Alfajiri Kumi za maadhimisho ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran. 

Miaka 42 iliyopita katika siku kama ya leo, yaani tarehe 12 mwezi Bahman mwaka 1357 Hijria Shamsiya sawa na Februari Mosi mwaka 1979 Miladia Imam Khomeini (M.A) Mwasisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran baada ya kuwa uhamishoni na mbali na nyumbani kwa miaka 14 alirejea katika Iran ya Kiislamu na kulakiwa na umati mkubwa wa wananchi. 

3473848

captcha