iqna

IQNA

TEHRAN (IQNA) – Serikali ya Saudia imefungua tena Msikiti Mtakatifu wa Makka (al-Masjid al-Ḥaram) na Msikiti Mtakatifu wa Mtume SAW (Al Masjid an Nabawi) baada ya kufunga kwa muda maeneo hayo mawili matakatifu (Haramein) kutokana na hofu ya kuenea kirusi cha Corona.
Habari ID: 3472537    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/03/06

TEHRAN (IQNA) - Saudi Arabia imewapiga marufuku raia wake na wakazi wa nchi hiyo kutekeleza ibada ya Umrah katika mji Mtakatifu wa Makka au kuzuru Msikiti wa Mtume SAW katika mji wa Madina kwa hofu ya kuenea kirusi cha Corona ambacho kinaenea kwa kasi duniani.
Habari ID: 3472533    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/03/05

TEHRAN (IQNA)- Saudi Arabia imetangaza kusimamisha kwa muda Ibada ya Umrah na Ziyarah katika Msikiti wa Mtume Muhammad SAW mjini Madina kutokana na hofu ya kuenea kirusi cha Corona.
Habari ID: 3472512    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/02/27

TEHRAN (IQNA) – Mkuu wa Shirika la Hija na Ziara za Kidini Iran Ali Reza Rashidian amesema Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imefanya mazungumzo na Saudi Arabia kuhusu Wairani kuanza tena kutekeleza Ibada ya Umrah.
Habari ID: 3472130    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/09/15

TEHRAN (IQNA)- Sergio Ricardo Messias Neves, ambaye pia anajulikana kama Sergio au Serginho, ni mchazaji wa zamani wa soka nchini Brazil ambaye alisilimu baada ya kucheza soka katika nchi kadhaa za Mashariki ya Kati (Asia Magharibi).
Habari ID: 3471990    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/06/08

TEHRAN (IQNA)- Mesut Ozil mchezaji mashuhuri Mwislamu katika timu ya taifa ya soka ya Ujerumani amemjibu mwanasiasa anayeuchukia Uislamu ambaye alimkosoa kwa safari yake ya Umrah.
Habari ID: 3471425    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/03/11

TEHRAN (IQNA)-Utawala wa Saudi Arabia unawazuia raia wa Qatar kutekeleza Ibada ya Umrah katika miji mitakatifu ya Makkah na Madinah.
Habari ID: 3471345    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/01/07