iqna

IQNA

IQNA – Saudi Arabia imetangaza kuwa zaidi ya Waislamu milioni 18.5 walitekeleza ibada za Hija na Umrah mwaka uliopita.
Habari ID: 3480591    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/04/25

IQNA – Saudi Arabia imetangaza msururu wa vikwazo na vizuizi vya kuingia  mji mtakatifu wa Makka kabla ya msimu wa Hija
Habari ID: 3480533    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/04/13

IQNA – Awamu ya kwanza ya safari ya Umrah kwa Mahujaji kutoka Iran kwa mwaka huu imehitimishwa rasmi, ambapo takriban Wairani 192,000 wametekeleza ibada hiyo tukufu ya Hijja Ndogo nchini Saudi Arabia.
Habari ID: 3480520    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/04/09

IQNA – Zaidi ya waumini milioni 122 walitembelea Msikiti Mtakatifu wa Makka ambao unajulkana kama Masjid Al Haram na Msikiti wa Mtume (SAW) mjini Madina amba oni maarufu kama Al Masjid an Nabawi katika kipindi chote cha mwezi mtukufu wa Ramadhani mwaka huu.
Habari ID: 3480473    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/03/30

IQNA – Msikiti Mkuu wa Makka,  Masjid al Haram, eneo takatifu zaidi katika Uislamu, uliwapokea waumini, wakiwemo Mahujaji wa Hija ndogo ya Umrah,zaidi ya milioni 4 kwa siku moja katika mwezi mtukufu wa Ramadhani. 
Habari ID: 3480456    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/03/28

IQNA – Waumini wametakiwa kutowaleta watoto wadogo katika Msikiti Mkuu wa Makkah, Masjid al Haram, wakati wa siku za mwisho za mwezi mtukufu  Ramadhani. Hii ni kutokana na eneo hili takatifu kushuhudia ongezeko kubwa la umini
Habari ID: 3480429    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/03/24

IQNA – Katika siku kumi za mwanzo za Mwezi Mtukufu Ramadhani, Msikiti Mkuu wa Makka, Masjid al Haram, umepokea zaidi ya waumini milioni 25, idadi ambayo imevunja rekodi ya mahudhurio.
Habari ID: 3480368    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/03/14

Hija na Umrah
IQNA Vifaa mahiri vinatarajiwa kutumika kuboresha viwango vya huduma katika Msikiti Mkuu wa Makka (Masjid Al Haram)  na Msikiti wa Mtume wa Medina (Al Masjid An Nabawi), afisa mmoja amesema.
Habari ID: 3480081    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/01/20

Umrah
IQNA – Mamlaka za Makka zimetangaza kuanzishwa kwa huduma za kuhifadhi mizigo kwa mahujaji wa Umrah, lengo likiwa ni kuwarahisishia wageni wa Msikiti Mkuu wa Makka.
Habari ID: 3479966    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/28

Umrah
IQNA – Msanii maarufu katika mtandao wa kijamii wa TikTok Khaby Lame hivi majuzi alipata taufiki ya kutekeleza Hija ndogo ya Umrah nchini Saudi Arabia na akiwa mbele ya Kaaba Tukufu.
Habari ID: 3479943    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/23

Hija na Umrah
IQNA – Mamlaka ya Jumla ya Saudi Arabia kwa Utunzaji wa Masuala ya Msikiti Mkuu na Msikiti wa Mtume imetoa seti ya miongozo tisa kwa mahujaji wa kike, lengo likiwa ni kuhakikisha mazingira yenye mpangilio na heshima kwenye maeneo hayo matakatifu.
Habari ID: 3479869    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/07

Umrah
IQNA - Wanafunzi wapatao 4,50 wa vyuo vikuu vya Iran wameteuliwa kupitia shindano ili kuweza kushiriki Hija ndogo ya Umra.
Habari ID: 3479855    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/04

Umrah
IQNA - Mamlaka ya Saudia imetangaza muda maalum kwa waumini kusali Swala za Sunna katika eneo la Hateem, linalojulikana pia kama Hijr Ismail, ambalo ni ukuta wa nusu duara ulio karibu na Kaaba Tukufu katika Msikiti Mkuu, Makka.
Habari ID: 3479751    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/11/15

Umrah
IQNA - Msikiti wa Mtume Muhammad  (SAW) maarufu kama al-Masjid an-Nabawi huko Madina, Saudi Arabia, ulikaribisha Waislamu milioni 5.7 wiki iliyopita, kulingana na takwimu rasmi.
Habari ID: 3479358    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/08/31

Umrah 1446
IQNA - Wizara ya Hija na Umrah ya Saudi imetoa taarifa ikitambulisha kanuni mpya za Hija ndogo ya Umrah.
Habari ID: 3479340    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/08/28

Hija ya 1445
Baada ya kumalizika kwa msimu wa Hijja, ambapo idadi kubwa ya mahujaji walikufa kutokana na joto kali, Saudi Arabia inasema hivi sasa inajiandaa kuwakaribisha mahujaji wa Umra.
Habari ID: 3479035    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/06/30

Masjid an Nabawi
IQNA - Zaidi ya waumini milioni 74.5 walitembelea Msikiti wa Mtume (pia unajulikana kama Al Masjid an Nabawi) katika mji mtakatifu wa Madina katika robo ya kwanza ya mwaka huu, kulingana na takwimu rasmi.
Habari ID: 3478942    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/06/07

Umrah 1445
IQNA - Afisa wa Hijja wa Iran amelitaka kundi la kwanza la Wairani walioelekea Saudia kwa ajili ya Hija ndogo ya Umra kuwakumbuka Wapalestina hasa wa Gaza katika dua wakiwa aktika ardhi takatifu.
Habari ID: 3478718    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/04/22

Laylatul Qadr
IQNA-Katika mkusanyiko wa kihistoria, Waislamu milioni 2.5 walikusanyika na kusali katika Msikiti Mkuu wa Makka, Masjid al Haram, Saudi Arabia, siku ya Ijumaa kuhusiha mojawapo ya usiku mtukufu zaidi wa Ramadhani mwaka huu.
Habari ID: 3478638    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/04/06

Umrah na Ramadhani
IQNA - Katika nusu ya kwanza ya mwezi mtukufu wa Ramadhani, karibu Waislamu milioni 15 walikwenda kwenye Msikiti wa Mtume SAW yaani Al-Masjid an-Nabawi huko Madina, eneo la pili takatifu katika Uislamu, kulingana na afisa wa Saudia.
Habari ID: 3478601    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/29