iqna

IQNA

mazingira
Uislamu na Mazingira
DUBAU (IQNA) – Sheikhe Mkuu wa Kituo cha Kiislamu cha Al-Azhar cha Misri amesema kuna aya nyingi katika Qur'ani Tukufu zinazowaalika watu kuheshimu mazingira .
Habari ID: 3477992    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/12/05

Dubai (IQNA) Maonyesho ya kila miaka miwili ya sanaa ya Kaligrafia ya Kiislamu huko Dubai yalianza kazi yake kwa uwepo wa wasanii 200 kutoka nchi za Kiislamu.
Habari ID: 3477691    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/10/05

Mawaidha
TEHRAN (IQNA) – Mazingira ni mojawapo ya baraka kubwa zaidi za Mwenyezi Mungu, hata hivyo, wanadamu katika miaka ya hivi karibuni wameshindwa kutunza baraka hii, na wamesababisha madhara kwa neema hii.
Habari ID: 3476968    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/05/07

Uislamu na Mazingira
TEHRAN (IQNA) – Faiza Abbasi, mhadhiri wa vyuo vikuu nchini India ambaye mkurugenzi wa Kituo cha Maendeleo ya Rasilimali Watu cha UGC, amesema Uislamu unafundisha ubinadamu na kutunza mazingira ya sayari ya dunia.
Habari ID: 3476141    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/11/24

Uislamu na Mazingira
TEHRAN (IQNA) - Wizara ya Wakfu ya Misri siku ya Jumamosi ilizindua kitabu kuhusu uhusiano kati ya mazingira na Uislamu.
Habari ID: 3476043    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/11/06

Wiki ya Maliasili na Siku ya Kupanda Miti nchini Iran
TEHRAN (IQNA) - Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran amesisitia kuwa, harakati za mazingira ni harakati za kidini na kimapinduzi huku akitahadharisha kuhusu uharibifu wa misitu na maliasili.
Habari ID: 3473706    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/03/05

TEHRAN (IQNA) – Warsha ya 'Mazingira kwa Mtaamo wa Qur'ani Tukufu na Sunnah ya Mtume Muhammad SAW imefanyika nchini Qatar.
Habari ID: 3472487    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/02/19

TEHRAN (IQNA)- Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Khamenei amesisitiza umuhimu wa utunzaji misitu na kusema umuhimu wa kupanda miti ni jambo ambalo linapaswa kuhimizwa ili liwe utamaduni wa umma.
Habari ID: 3471866    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/03/07

TEHRAN (IQNA)-Indonesia imetangza mpango wa kuzindia misikiti 1,000 ya 'kijani' kwa maana kuwa kwa maana kuwa ujenzi na utumizi wake umezingatia utunzwaji mazingira .
Habari ID: 3471268    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/11/18

Rais Rouhani
Ujumbe wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwa dunia ni kuwa na kadiri na wastani katika mambo.
Habari ID: 3470266    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/04/23

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu leo amepanda mche mmoja wa mti katika Wiki ya Maliasili nchini Iran na kusisitiza kuhusu kulindwa mazingira .
Habari ID: 3470187    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/03/08

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullahil Udhma Sayyed Ali Khamenei ametangaza sera jumla kuhusiana na kulinda mazingira nchini Iran.
Habari ID: 3454537    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/11/19

Takwimu mpya zinaonyesha kuwa idadi ya jinai zinazosababishwa na chuki dhidi ya Waislamu zimeongezeka nchini Uingereza mwaka uliopita.
Habari ID: 3360838    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/09/09

Kiongozi wa Kiislamu wa nchini Senegal ametaka kutekelezwa “Jihadi ya Kijani” dhidi ya uchafuzi wa mazingira , akiliomba bunge la nchi hiyo na pia jamii nzima ya Waislamu kushiriki katika kile alichokiita jukumu la wazi la Kiislamu la kulinda mazingira .
Habari ID: 3341790    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/08/13