TEHRAN (IQNA)-Mashindano ya 34 Kimataifa ya Qur'ani ya Iran yamemalizika huku Ustadh Haitham Sagar Ahmad wa Kenya akishika nafasi ya nne katika kuhifadhi Qur'ani kikamilfu.
Habari ID: 3470952 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/04/26
TEHRAN (IQNA) –Raia wa Kenya amefika fainali za Mashindano ya 34 ya Kimataifa ya Kuhifadhi Qur'ani Tukufu yanayofanyika nchini Iran.
Habari ID: 3470945 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/04/22
TEHRAN (IQNA)-Mji mkuu wa Kenya, Nairobi leo ni mwenyeji wa mkutano wa siku mbili ambao unachunguza namna nchi hiyo inaweza kunufaika na uchumi wa Kiislamu au uchumi Halal ambao unashika kasi duniani.
Habari ID: 3470929 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/04/10
TEHRAN (IQNA)-Waislamu nchini Kenya wameandamana kulaani mpango wa wakuu wa mji wa Nairobi kubomoa msikiti moja mjini humo kwa ajili ya ujenzi wa barabara.
Habari ID: 3470925 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/04/09
TEHRAN (IQNA)-Serikali ya Kenya imezindua bajeti ambayo itastawisha mfumo wa Kiislamu wa kifedha nchini humo kwa lengo la kuufanya mji mkuu, Nairobi kuwa kitovu cha sekta hiyo kieneo.
Habari ID: 3470918 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/04/04
TEHRAN (IQNA)-Raia 6,000 wa Kenya wanatazamiwa kushiriki katika Ibada ya Hija mwaka huu.
Habari ID: 3470917 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/04/04
IQNA: Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya ameomboleza kifo cha mwanazuoni maarufu wa Kiislamu Sheikh Hassan Suleiman aliyefariki dunia Jumapili.
Habari ID: 3470872 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/02/28
IQNA-Kenya imeanzisha mkakati wa huduma za 'Halal' za kitalii kwa ajli ya ongezeko la watalii Waislamu nchini humo.
Habari ID: 3470832 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/02/04
IQNA-Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya amesaini sheria itakayoimarisha nafasi ya Kenya kama kitovu cha mfumo wa fedha wa Kiislamu barani Afrika.
Habari ID: 3470779 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/01/04
IQNA-Qarii (msomaji) wa Qur'ani Tukufu kutoka Kenya amesema Mashidano ya 6 ya Kimataifa ya Qur’ani ya Wanachuo Waislamu yatakayofanyika nchini Iran ni fursa ya kujimmarisha katika ujuzi wa Qur'ani.
Habari ID: 3470757 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/12/24
IQNA: Serikali ya Kenya imeazimia kukabiliana na Madrassah zenye misimamo mikali ya kidini hasa katika eneo linalopakana na Somalia kaskazini mashariki mwa nchi hiyo.
Habari ID: 3470714 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/12/04
IQNA-Kenya itakuwa mwenyeji wa maonyesho ya kwanza ya kimatiafa ya bidhaa na huduma halali eneo la bara la Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara.
Habari ID: 3470653 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/11/05
Mahakama ya Rufaa nchini Kenya imeamuru wasichana Waislamu nchini humo wanaruhusiwe kuvaa vazi la stara ya mwanamke wa Kiislamu Hijabu wakiwa shuleni.
Habari ID: 3470557 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/09/10
Maeneo kadhaa ya Ibada katika mji mkuu wa Kenya, Nairobi yamepakwa rangi ya njano kama njia ya kuleta umoja na kusisitiza nukta za pamoja baina ya wafuasi wa dini mbali mbali.
Habari ID: 3470528 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/08/17
Huku Waislamu duniani wakisherehekehea siku kuu ya Idul Fitr, msomi wa Kiislamu Kenya ameitunukia jamii ya Waluo Qur'ani Tukufu iliyotafsiriwa (tarjumiwa) kwa lugha ya Kiluo.
Habari ID: 3470440 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/07/08
Shirika la Kutoa Misaada la Kutoa Misaada ya Kibinadamu Qatar (RAF) limefungua kituo kipya cha kuhifadhi kiitwacho "Al Rahmah" Qur'ani Tukufu kaskazini mashariki mwa Kenya.
Habari ID: 3470421 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/06/28
Hafidh wa Qur'ani Tukufu kutoka Kenya aliyeshiriki Mashindano ya 33 ya Kimataifa ya Qur'ani ya Iran amepongeza kujitokeza kwa wingi wananchi wapendao Qur'ani wa Iran katika ukimbu wa mshindano.
Habari ID: 3470318 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/05/18
Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya amemtunuku nishani ya juu Salah Farah marehemu mwalimu Mwislamu aliyepigwa risasi akiwakinga Wakristo wasiuawe na magaidi wa Al Shabab.
Habari ID: 3470225 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/04/02
Abiria Waislamu wamezuia kuuawa wenzao wa Kikristo huko Kenya katika shambulio la magaidi wakufurishaji wa al Shabab.
Habari ID: 3468865 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/12/23
Kiongozi wa kanisa Katoliki duniani, Papa Francis ametoa wito kwa viongozi wa dini mbalimbali nchini Kenya kuzidisha ushirikiano na urafiki miongoni mwao ili kuepusha fitina za kidini na kimadhehebu.
Habari ID: 3457358 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/11/26