TEHRAN (IQNA)- Waislamu nchini Kenya wamelaani vikali uamuzi wa Mahakama ya Kilele kuidhinisha marufuku ya vazi la Hijabu katika shule nchini humo huku baadhi ya viongozi wakiwataka wasichana Waislamu wapuuze uamuzi huo.
Habari ID: 3471823 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/01/28
TEHRAN (IQNA)- Magaidi wakufurishaji wa kundi la Al Shabab Jumanne walihujumu hoteli ya kifahari mjini Nairobi, Kenya na kuua watu 21.
Habari ID: 3471808 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/01/16
TEHRAN (IQNA)- Mfuko mkubwa zaidi wa Kiislamu wa mafao ya uzeeni umezinduliwa nchini Kenya na kupewa jina la Salih.
Habari ID: 3471736 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/11/10
TEHRAN (IQNA)- Waislamu wa madhehebu ya Shia nchini Kenya wanaendelea na maombolezo ya mwezi Muharram katika kukumbuka kuuhawa Shahidi Imam Hussein AS na wafuasia wake katika jangwa la Karbala.
Habari ID: 3471672 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/09/16
TEHRAN (IQNA)- Waislamu nchini Kenya wamepinga hatua ya Rais Uhuru Kenyatta wa nchi hiyo kumteua mwanadiplomasia asiyekuwa Mwislamu kuwa balozi wa nchi hiyo Saudi Arabia.
Habari ID: 3471620 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/08/05
TEHRAN (IQNA)- Mashindano ya Kwanza ya Kuhifadhi Qur’ani Maalumu kwa ajiliya Waalimu wa shule katika mji wa Nairobi yamefanyika.
Habari ID: 3471613 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/07/31
TEHRAN (IQNA)- Mwenyekiti Kitaifawa Baraza la Maimamu na Wahubiri Waislamu Kenya (CIPK) Sheikh Abdalla Ateka ametoa wito kwa wizara ya elimu nchini humo kuchukua hatua za kuzuia kuendelea kubaguliwa wanafunzi Waislamu katika shule za nchi hiyo.
Habari ID: 3471608 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/07/26
TEHRAN (IQNA) Jamhuri ya Kiislamu ya Iran itashirikiana na Chuo Kikuu cha Umma nchini Kenya ambacho ni chuo kikuu cha kwanza cha Kiislamu katika nchi hiyo.
Habari ID: 3471604 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/07/23
TEHRAN (IQNA)- Ustadh Twahir Ali Alwi kutoka Kenya ameibuka mashindi wa Mashindano ya Kimataifa ya Kuhifadhi Qur'ani ya Zanzibar.
Habari ID: 3471536 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/05/29
TEHRAN (IQNA)- Kituo kipya cha Kiislamu kimefunguliwa katika mjini Mombasa, Kenya katika mtaa wa Majengo kwa lengo la kukabiliana na misimamo mikali ya kidini.
Habari ID: 3471428 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/03/14
TEHRAN (IQNA)-Hafidh wa Qur'ani Tukufu kutoka mji wa Mombasa nchini Kenya, Ustadh Haitham Sagar Ahmad anasema Qur'ani Tukufu ndio njia pekee ya kutatua matatizo katika maisha ya mwanadamu.
Habari ID: 3471399 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/02/21
TEHRAN (IQNA)-Baraza Kuu la Waislamu Kenya , Supkem, limetoa wito kwa serikali kuchukua hatua za kuzuia kusumbuliwa wasichana Waislamu wanaovaa Hijabu wakiwa shuleni.
Habari ID: 3471334 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/12/31
TEHRAN (IQNA)-Zaidi ya wageni 20,000 kutoka kote duniani wanahudhuria sherehe za Maulid ya Mtume SAW inayofanyika katika Kisiwa cha Lamu katika Pwani ya Kenya.
Habari ID: 3471307 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/12/12
TEHRAN (IQNA)-Askofu wa kanisa moja nchini Kenya amesilimu pamoja na wafuasi wake kadhaa na kuligeuza kanisa lake kuwa msikiti.
Habari ID: 3471218 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/10/15
TEHRAN (IQNA)-Msikiti wa Jamia mjini Nairobi, Kenya umezindua kampeni ya kuwasiadia Waislamu wa jamii ya Rohingya wanaokandamizwa na kuangamizwa kwa umati nchini Myanmar.
Habari ID: 3471176 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/09/16
TEHRAN (IQNA)-Msikiti wa Jamia mjini Nairobi umezindua televisheni ya kwanza ya Kiislamu nchini Kenya.
Habari ID: 3471125 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/08/16
TEHRAN (IQNA)-Mmoja kati ya misikiti ya kale zaidi nchini Kenya uko katika hatari ya kuangamia kutokana na ongezeko la mawimbi ya bahari.
Habari ID: 3471068 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/07/15
TEHRAN (IQNA) Waislamu na watetezi wa haki Tanzania na Kenya wameungana na wapigania haki duniani kuadhimisha Siku ya Kimataifa ya Quds ambayo ni Ijumaa ya mwisho ya mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3471033 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/06/24
TEHRAN (IQNA)-Waislamu nchini Kenya wanaendelea kujadili mtaala katika shule za Kiislamu maarufu kama Madrassah huku kukitolewa tahadhari ya kuingizwa misimamo mikali ya kidini katika mtaala huo.
Habari ID: 3471032 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/06/23
TEHRAN (IQNA)-Kenya imeazimia kuimarisha utalii 'Halal' ambao unalenga kuwavutia watalii Waislamu kwa kutoa huduma ambazo zinazingatia mfundisho ya dini tukufu ya Kiislamu.
Habari ID: 3470962 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/04/30