baiskeli

IQNA

TEHRAN (IQNA)- Wanaume wawili Waislamu kutoka mji wa Tetova nchini Albania hivi sasa wako safarini kuelekea katika mji mtakatifu wa Makka kutekeleza ibada ya Hija kwa baiskeli.
Habari ID: 3471590   Tarehe ya kuchapishwa : 2018/07/11