iqna

IQNA

Amnesty International
TEHRAN (IQNA)-Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International wamesema kuwa, bomu lililoua raia 16 wa Yemen wakiwemo watu wote wa familia ya mtoto Buthaina aliyenusurika shambulizi hilo, lilitengenezwa nchini Marekani.
Habari ID: 3471187    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/09/23

TEHRAN (IQNA)-Mamilioni ya Wa yemen wameandamana katika mji mkuu Sana'a na maeneo mengine nchini humo katika mwaka wa pili tokea Saudia ianzishe vita vya kinyama dhidi ya taifa hilo na zaidi ya 12,000 kupoteza maisha na mamilioni ya wengine wengi kupoteza makao.
Habari ID: 3470909    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/03/26

IQNA: Umoja wa Mataifa umeonya kuwa baa la njaa limeenea katika nchi kadhaa za Afrika na Yemen ambapo mamilioni ya watu wakiwa katika hatari ya kupoteza maisha.
Habari ID: 3470866    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/02/23

Harakati ya Ansarullah nchini Yemen imekanusha madai ya Saudia kuwa imeshambulia msikiti wa Makkah.
Habari ID: 3470642    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/10/30

Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa ugaidi ni miongoni ma masaibu yanayoiumiza sana jamii ya mwanadamu.
Habari ID: 3470637    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/10/27

Khatibu wa Sala ya Ijumaa Tehran
Khatibu wa Sala ya Ijumaa mjini Tehran hatua ya Saudia kuwaua watoto nchini Yemen ni sawa na jinai za utawala wa Kizayuni wa Israel ambao umekuwa ukiwaua watoto Wapalestina huko Ghaza na pia nchini Lebanon.
Habari ID: 3470625    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/10/21

Raia wasiopungua 160 wameuawa kinyama katika mji mkuu wa Yemen Sana'a baada ya ndege za kijeshi za Saudi Arabia kuwashambulia walipokuwa katika kikao cha mazishi.
Habari ID: 3470606    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/10/09

Saudi Arabia imeendelea kukaidi wito wa kuundwa kamati ya kimataifa ya kutafuta ukweli kuhusu jinai zilizofanywa na utawala huo dhidi ya taifa la Yemen.
Habari ID: 3470601    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/10/06

Abdul-Malik Badreddin al-Houthi
Kiongozi wa Harakati ya Ansarullah nchini Yemen amesema Marekani ndiyo iliyotoa amri ya kushambuliwa nchi hiyo.
Habari ID: 3470574    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/09/21

Utawala wa Saudia umetekeleza mauaji ya watoto kadhaa nchini Yemen na kuwajeruhi wengine katika mwendelezo wa jinai zake dhidi ya nchi hiyo ambayo ni jirani wake wa kusini.
Habari ID: 3470541    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/08/30

Ndege za kivita za Saudi Arabia zimedondosha mabomu katika msikiti mwingine huko kaskazini mashariki mwa Yemen.
Habari ID: 3470511    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/08/09

Umoja wa Mataifa umesema watoto 10,000 nchini Yemen walio chini ya umri wa miaka mitano wamepoteza maisha kutokana na sababu za kivita nchini humo.
Habari ID: 3470355    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/06/03

HRW
Shirika la Kutetea Haki za Binadamu la Human Rights Watch (HRW) limesema Uingereza na Marekani zinashirikiana na Saudi Arabia kuten
Habari ID: 3470226    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/04/02

Muungano unaoongozwa na Saudi Arabia katika vita vya Yemen umetajwa kuwa unahusika moja kwa moja na mauaji ya raia wa nchi hiyo.
Habari ID: 3468864    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/12/23

Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limeikosoa vikali Saudi Arabia kwa kuwalenga kwa makusudi watoto kupitia udondoshaji mabomu kiholela katika vita vyake dhidi ya Yemen.
Habari ID: 3462043    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/12/11

Serikali ya Uingereza iko katika hatari ya kushtakiwa kwa kuiuzia Saudi Arabia makombora yaliyotumika kuwashambulia raia wasio na hatia nchini Yemen.
Habari ID: 3457990    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/11/29

Iran imelaani vikali hujuma ya hivi karibuni ya ndege za kivita za Saudi Arabia dhidi ya hospitali moja nchini Yemen.
Habari ID: 3407236    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/10/28

Kiongozi wa Ansarullah
Katibu Mkuu wa Harakati ya Ansarullah nchini Yemen amesema watawala madhalimu wanapanga njama za kudhoofisha umma wa Kiislamu kwa kuuweka mbali na thamani za misingi ya haki.
Habari ID: 3393529    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/10/25

Kiongozi wa Ansarullah Yemen
Kiongozi wa Harakati ya Ansarullah ya Yemen amesema watu wa nchi yake watailinda ardhi yao na hawatatoa muhanga 'heshima' na 'uhuru' mbele ya hujuma zisizo na kikomo za Saudi Arabia.
Habari ID: 3385390    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/10/14

Musa Motamedi hafidh wa Qur’ani kutoka Iran ameshika nafasi ya kwanza katika mashindano ya kimataifa ya Qur’ani katika mji mkuu wa Russia, Moscow.
Habari ID: 3384686    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/10/12