iqna

IQNA

TEHRAN (IQNA) - Wakuu wa Yemen wametoa tahadhari kuhusu hali mbaya ya kibinadamu inayozidi kuwa mbaya nchini humo kutokana na vita vinavyoongozwa na Saudi Arabia dhidi ya nchi hiyo masikini ya Kiarabu ambapo 'mtoto mmoja wa Yemen hupoteza maisha kila dakika 10'.
Habari ID: 3473416    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/12/02

TEHRAN (IQNA) – Yemen, ambayo inakabiliwa na hujuma ya kijeshi ya Saudia, sasa inaelekea katika baa kubwa zaidi la njaa kuwahi kushuhudiwa duniani kwa miongo kadhaa, ametahadharisha Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Antonio Guterres.
Habari ID: 3473379    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/11/21

TEHRAN (IQNA) - Shirika la misaada ya kibinadamu la Oxfam lenye makao makuu yake nchini Uingereza limesema nchi 20 zenye uchumi mkubwa zaidi duniani (G20) zimeiuzia Saudi Arabia silaha zenye thamani ya dola bilioni 17 tangu Riyadh ianzishe vita dhidi ya Yemen mwaka 2015, lakini nchi hizo wanachama wa kundi la G20 zimeipa Yemen thuluthi moja ya fedha hizo kama msaada.
Habari ID: 3473370    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/11/18

TEHRAN (IQNA)- Umoja wa Mataifa umetahadharisha kuwa mamilioni ya watu wa Yemen, hasa wanawake na watoto, wanakabiliwa na baa la njaa huku Saudia ikiendeleza vita dhidi ya nchi hiyo masikini zaidi katika bara Arabu.
Habari ID: 3473355    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/11/13

TEHRAN (IQNA) - Sehemu za Yemen zinakabiliwa na kiwango kikubwa cha utapiamlo kwa watoto, na nchi hiyo inaelekea kwenye baa kubwa la mgogoro wa usalama wa chakula.
Habari ID: 3473302    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/10/28

Sayyid Abdulmalik Badruddin al-Houthi
TEHRAN (IQNA) - Kiongozi wa Harakati ya Ansarullah ya Yemen amesema mashirika ya kijasusi ya nchi za Magharibi ndiyo ambayo yaliibua makundi ya magaidi wakufirishaji duniani.
Habari ID: 3473278    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/10/20

TEHRAN (IQNA) - Operesheni ya kubadilisha mateka wa vita baina ya harakati ya Ansarullah ya Yemen na muungano vamizi wa Saudi Arabia imeanza kutekelezwa leo Alkhamisi kwa kuachiwa huru mamia ya mateka wa pande hizo mbili.
Habari ID: 3473261    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/10/15

TEHRAN (IQNA) – Saudi Arabia imeshindwa kujiunga na Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa kufuatia pingamizi la shirika moja la kimataifa.
Habari ID: 3473258    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/10/14

Waziri wa Mambo ya Nje wa Yemen
TEHRAN (IQNA) - Waziri wa Mambo ya Nje wa serikali ya uokovu wa kitaifa ya Yemen amesema Marekani, Uingereza, Saudia na Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) ni watenda jinai katika eneo zima la Ghuba ya Uajemi.
Habari ID: 3473246    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/10/10

TEHRAN (IQNA) -Baadhi ya duru za Saudi Arabia zimeripoti kuwa, wiki iliyopita Sudan ilipeleka mamia ya wanajeshi wake huko Yemen kupitia Saudia.
Habari ID: 3473227    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/10/03

TEHRAN (IQNA)- Jeshi la Yemen likishirikiana na vikosi vya kujitolea vya wananchi limetekeleza shambulizi la ulipizaji kisasi dhidi ya kambi ya kijeshi ya Saudi Arabia na kuangamiza askari wasipopungua 10 wa kambi ya adui.
Habari ID: 3473201    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/09/24

Kiongozi wa Ansarullah nchini Yemen
TEHRAN (IQNA)- Kiongozi wa Harakati ya Ansarullah ya Yemen amewakosoa vikali watawala wa Saudi Arabia na Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) na kusema tawala hizo mbili ni wabebe bendera ya unafiki, upotoshaji katika umma wa Kiislamu na wavurugaji umoja wa umma wa Kiislamu
Habari ID: 3473171    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/09/15

Katibu Mkuu wa harakati ya wananchi wa Yemen ya Ansarullah
TEHRAN (IQNA) - Katibu Mkuu wa harakati ya wananchi wa Yemen ya Ansarullah amesema kuwa Saudi Arabia na Imarati ni vinara wa kambi ya unafiki.
Habari ID: 3473121    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/08/31

TEHRAN (IQNA)- Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) na utawala wa Kizayuni wa Israel zimeafikiana kushirikiana kuanzisha vituo vya ujasusi katika eneo la kistratejia la Socotra huko Yemen.
Habari ID: 3473111    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/08/28

Waziri Mkuu wa Yemen
TEHRAN (IQNA) - Waziri Mkuu wa Serikali ya Uwokozi wa Kitaifa ya Yemen amekosoa hatua ya Umoja wa Mataifa ya kuiondoa Saudi Arabia katika orodha ya wauaji wa watoto.
Habari ID: 3473060    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/08/12

TEHRAN (IQNA) - Kiongozi wa harakati ya Ansarullah ya Yemen amesema, kujiweka mbali Waislamu na Uwalii wa Umma ndio sababu kuu ya matatizo uliyonayo Umma wa Kiislamu.
Habari ID: 3473048    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/08/09

TEHRAN (IQNA) - Baraza la Maulamaa wa Yemen limeyatolea mwito mataifa ya Kiislamu wa kuyataka yatekeleze jukumu lao la kuuhami msikiti wa al-Aqsa na Haram Mbili tukufu za Makka na Madina katika kukabiliana na chokochoko za Wazayuni na utawala wa Aal Saud.
Habari ID: 3472971    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/07/17

TEHRAN (IQNA) – Shirika la Umoja wa Mataifa la Mpango wa Chakula Duniani (WFP) limesema Wa yemen wasiopungua milioni 10 wa Yemen wanaandamwa na ubaha mkubwa wa chakula na hivyo wanahitaji misaada ya dharura ili kuzuia baa la njaa.
Habari ID: 3472950    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/07/11

Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran
TEHRAN (IQNA) -Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema kuwa, kusema urongo na kueneza chuki ni viungo muhimu katika sera za kigeni za Marekani.
Habari ID: 3472946    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/07/10

TEHRAN (IQNA) - Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kimataifa Maulamaa wa Kiislamu (IUMS) ametahadharisha kuhusu njama hatari inayopangwa dhidi ya Yemen na ametaka nchi hiyo inusuriwe.
Habari ID: 3472911    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/06/29