iqna

IQNA

Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu, Bunge la Iran, amesema mwamko wa Waislamu ni nukta muhimu katika mustakabali wa Masharik ya Kati.
Habari ID: 3332314    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/07/23

Watu wasiopungua watano wamepoteza maisha na wengine saba kujeruhiwa katika hujuma ya bomu karibu na Msikiti wa Mashia katika mji mkuu wa Yemen, Sana'a.
Habari ID: 3331848    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/07/21

Shirika la Afya Duniani WHO limeonya kuhusu hali mbaya ya kibinadmau nchini Yemen na kusema na kusema mkoa wa Aden unakabiliwa na hali maafa ya kiafya.
Habari ID: 3328804    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/07/16

Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah
Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon Sayyid Hassan Nasrullah amesema Iran ndio nchi pekee inayounga mkono ukombozi wa ardhi zote za Palestina na Quds Tukufu.
Habari ID: 3326617    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/07/11

Kiongozi wa Harakati ya Ansarullah
Abdulmalik Houthi Kiongozi wa Harakati ya Ansarullah nchini Yemen amesema Saudia imegueka na kuwa chombo cha Israel katika hujuma dhidi ya Wa yemen .
Habari ID: 3326612    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/07/11

Ali Larijani
Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu, Bunge la Iran, Ali Larijani amesema lengo kuu la nchi za Magharibi ni kuangamiza Uislamu na njama hiyo ilianzishwa Palestina.
Habari ID: 3326323    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/07/11

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza juu ya udharura wa kutumiwa vyema sanaa ya mashairi kwa ajili ya kutoa miongozo kwa walengwa.
Habari ID: 3322405    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/07/02

Magaidi wa kundi al Qaida wamemuua imam mmoja wa Yemen anayefahamika kwa kupinga mashambulizi ya umwagaji damu yaliyoanzishwa na Saudia katika ardhi ya Yemen mwishoni mwa mwezi Machi mwaka huu.
Habari ID: 3316631    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/06/21

Ripoti Maalumu ya IQNA
Sambamba na kuanza hujuma ya hujuma ya kijeshi ya Saudi Arabia nchini Yemen, kumeshuhudiwa kuongezeka kwa kasi chuki dhidi ya Ushia na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran barani Afrika.
Habari ID: 3315877    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/06/18

Makumi ya watu wameuawa katika mwendelezo wa mashambulizi ya kichokozi ya Saudi Arabia na waitifaki wake nchini Yemen.
Habari ID: 3313339    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/06/12

Sayyid Hassan Nasrallah
Kiongozi wa Harakati ya Mapambano ya Hizbullah Sayyid Hassan Nasrallah ameuonya vikali utawala wa Israel kuhusu hujuma dhidi ya Lebanon.
Habari ID: 3311179    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/06/06

Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema madola ya kigeni na kibeberu hayataweza kuilazimisha Syria ifuate matakwa yao.
Habari ID: 3310591    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/06/02

Msomi wa chuo kikuu nchini Senegal ametoa hotuba kali mbele ya balozi wa Saudi nchini humo ambapo ameukosoa utawala wa Saudi Arabia kwa sera zake za undumakuwili na unafiki hasa uungaji mkono wake wa ugaidi na jinai dhidi ya watu wa Yemen.
Habari ID: 3309969    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/06/01

Huku mashambulio makali ya ndege za kivita za Saudi Arabia dhidi ya Yemen yakiwa yanaingia katika mwezi wake wa tatu, maelfu ya raia wa nchi hiyo wameuawa na wengine wengi kujeruhiwa huku miundombinu ya nchi hiyo ikiharibiwa kabisa.
Habari ID: 3309308    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/05/30

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon amesikitishwa sana kuhusu kuakhrishwa mkutano wa mazungumzo ya amani Yemen.
Habari ID: 3308524    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/05/27

Shirika la Umoja wa Mataifa la Chakula Duniani limeahidi kupeleka misaada ya Iran nchini Yemen. Meli ya Iran ilikuwa ipeleke misaada ya kibinadamu moja kwa nchini Yemen lakini ikashindwa kufanya hivyo kutokana na kuendelea hujuma za katika Bandari ya Hudaydah.
Habari ID: 3307026    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/05/24

Utawala haramu wa Israel unapanga kuipatia Saudi Arabia msaada mkubwa wa makombora ili kufanikisha vita vyake dhidi ya watu wa Yemen.
Habari ID: 3306968    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/05/24

Ayatullahil Udhma Sayyid Ali Khamenei
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, ubeberu kinara wake akiwa Marekani ndio chanzo kikuu cha kutokea ujahili wa kisasa.
Habari ID: 3304290    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/05/17

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema Saudi Arabia imefanya kosa kubwa la kuivamia na kuishambulia kinyama Yemen na bila ya shaka yoyote madhara ya jinai wanazofanya huko Yemen yatawarejea wenyewe.
Habari ID: 3300744    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/05/14

Meli ya misaada ya kibinadamu ya Iran kwa ajili ya wananchi wanaondelea kushambuliwa kinyama na Saudi Arabia huko Yemen inaendelea na safari yake baada ya kuondoka katika bandari ya Bandar Abbas, kusini mwa Iran.
Habari ID: 3292005    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/05/12