TEHRAN (IQNA) - Msemaji wa Wizara ya Afya ya Serikali ya Wokovu wa Kitaifa ya Yemen ameweka wazi athari mbaya za mashambulio ya muungano vamizi wa Saudia dhidi ya Yemen na kuzingirwa nchi hiyo ya Kiarabu
Habari ID: 3474009 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/06/15
TEHRAN (IQNA)- Wizara ya Hija ya Yemen imelaani vikali hatua ya Saudia kuwazuia Waislamu kutoka nje ya ufalme huo kutekeleza ibada ya Hija.
Habari ID: 3474002 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/06/13
TEHRAN (IQNA)- Jeshi la Yemen limefanikiwa kumuua kinara wa magaidi wa Daesh ambaye pia ni muitifaki mkubwa wa muungano vamizi wa Saudia katika mkoa wa Ma’rib.
Habari ID: 3473870 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/05/02
TEHRAN (IQNA)- Wananchi wa Yemen wanajumuika pamoja misikitini katika mwezi Mtukufu wa Ramadhani pamoja na kuwa nchi yao inakabiliwa na hujuma ya kinyama ya muungano vamizi wa Saudia-Marekani.
Habari ID: 3473820 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/04/16
TEHRAN (IQNA)- Jeshi la Yemen limetangaza kuwa vikosi vyake vya angani na makombora vimetekeleza oparesheni ya pamoja kwa kutumia makombora saba na ndege zisizo na rubani au drone na kulenga kituo cha kusafisha mafuta cha Aramco mkoani Jizan nchini Saudia.
Habari ID: 3473817 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/04/15
Msemaji wa Harakati ya Ansarullah ya Yemen amesema kitendo cha Saudia kuendeleza mzingiro dhidi ya Yemen katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani ni kitendo kilicho dhidi ya ubinadmau.
Habari ID: 3473803 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/04/11
TEHRAN (IQNA)- Kiongozi wa Harakati ya Ansarullah Sayyid Abdul-Malik Badreddin al-Houthi amesema Waislamu duniani kote wanapaswa kurejea katika mafundisho ya Qur’ani Tukufu.
Habari ID: 3473800 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/04/10
Kiongozi wa Ansarullah
TEHRAN (IQNA) - Kiongozi wa Harakati ya Ansarullah ya Yemen amesema muungano vamizi wa kijeshi umebomoa misikiti 1400 katika mashambulizi yake maeneo mbali mbali nchini Yemen.
Habari ID: 3473762 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/03/26
TEHRAN (IQNA)- Mohammed Abdul Salam, msemaji wa Harakati ya Ansarullah ya Yemen amesema pendekezo la amani la Saudia ‘halina jipya’ kwani halijumuishi takwa la Ansarullah la kuondolewa mzingiro kikamilifu dhidi ya Yemen hasa katika uwanja wa ndege wa Sana’a na bandari ya Hudaydah.
Habari ID: 3473757 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/03/24
TEHRAN (IQNA)- Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imetangaza kuwa Iran inaunga mkono mpango wowote wa kuleta amani Yemen.
Habari ID: 3473756 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/03/23
TEHRAN (IQNA)- Msikiti wa kale wa Al-Aydarus katika mji wa Aden nchini Yemen ni kati ya misikiti ya kale mjini humo lakini sasa unakaribia kubomoka na kuangamia kutokana na kupuuzwa hasa katika kipindi hiki cha vita nchini humo.
Habari ID: 3473739 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/03/16
TEHRAN (IQNA) – Ndege za kivita zisizo na rubani (drone) za Jeshi la Yemen zimelenga maeneo muhimu ya kijeshi na kibiashara nchini Saudi Arabia katika fremu ya oparesheni za ulipizaji kisasi.
Habari ID: 3473704 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/03/05
TEHRAN (IQNA) - Mjumbe wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Answarullah ya Yemen amesisitiza kuwa, harakati hiyo itaendelea kuishambulia miji na maeneo ya Saudi Arabia maadamu uko wa Aal Saud unaendelea kuishambulia miji ya Yemen.
Habari ID: 3473692 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/03/01
Kiongozi wa Ansarullah
TEHRAN (IQNA)- Kiongozi wa harakati ya Ansarullah ya Yemen amesisitiza kuwa watu wa nchi hiyo hawatawekwa chini ya mamlaka ya Saudi Arabia, Imarati, Marekani au utawala wa Kizayuni wa Israel.
Habari ID: 3473667 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/02/20
TEHRAN (IQNA)- Yemen inakabiliwa na baa kubwa la njaa ambalo linaweza kuvuruga jitihada mpya za kusaka amani katika nchi hiyo ambayo kwa miaka sita sasa imekuwa ikikabiliwan na hujuma ya kijeshi ya Saudi Arabia na waitifaki wake,
Habari ID: 3473663 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/02/19
TEHRAN (IQNA)- Maafisa wa serikali ya Yemen wanasema nchi yao hivi imo vitani, inashambuliwa kila uchao na muungano vamizi unaoongozwa na Saudi Arabia, hivyo ni haki ya kawaida kabisa kwa wananchi wa Yemen kujibu mashambulizi wanayofanyiwa.
Habari ID: 3473653 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/02/15
THERAN (IQNA)- Mwakilishi wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Asarullah ya Yemen amesisitiza kuwa, Utawala wa Aal Saud unatumia viwanja vya ndege vya Saudia kutekeleza mashambulizi dhidi ya Yemen na kuyatahadharisha mashirika ya ndege kutotumia viwanja hivyo.
Habari ID: 3473642 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/02/11
TEHRAN (IQNA)- Italia imetangaza kusitisha uuzaji silaha zake kwa Saudi Arabia na Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) kutokana na jinai za kivita ambazo tawala hizo mbili zinafanya huko Yemen.
Habari ID: 3473603 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/01/30
TEHRAN (IQNA)- Familia mbili za Wa yemen zimewasilisha mashtaka dhidi ya Marekani baada ya jamaa zao 34, wakiwemo watoto 17 kuuawa katika hujuma za ndege za kivita za Marekani.
Habari ID: 3473601 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/01/29
TEHRAN (IQNA)- David Beasley Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Chakula Duniani (WFP) amesema kuwa uamuzi Marekani dhidi ya harakati ya Ansarullah ya Yemen ni sawa na kutolewa hukumu ya kifo kwa Wa yemen wasio na hatia.
Habari ID: 3473558 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/01/15