iqna

IQNA

TEHRAN (IQNA) -Zaidi ya nusu ya Wa yemen , takribani watu milioni 14, wanakabiliwa na baada la njaa kutokana na hujuma ya kijeshi inayoongozwa na Saudia dhidi ya taifa hilo masikini zaidi katika bara Arabu.
Habari ID: 3471734    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/11/08

Vita vya Saudia dhidi ya Yemen
TEHRAN (IQNA)- Idadi kubwa ya Wa yemen sasa wanalazimika kula majani ya msituni kutokana na kusakamwa na baa la njaa ambalo limesababishwa na hujuma ya kivita ya Saudia dhidi ya nchi hiyo masikini zaidi ya Kiarabu.
Habari ID: 3471675    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/09/16

TEHRAN (IQNA)- Mfuko wa Watoto wa Umoja wa Matiafa UNICEF umelaani vikali hujuma ya hivi karibuni ya ndege za kivita za Saudia katika mkoa wa Hudaydha ambapo watoto 26 waliuawa.
Habari ID: 3471645    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/08/25

TEHRAN (IQNA)-Ndege za muungano vamizi wa Saudia zimeshambulia basi lililokuwa limebeba watoto ambao ni wanafunzi wa Qur’ani kati mji wa Dhahiyan wa jimbo la Saada na kuua makumi ya raia wengi wao wakiwa watoto wa shule.
Habari ID: 3471623    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/08/10

Ayatullah Ahmad Jannati
TEHRAN (IQNA)-Katibu wa Baraza la Kulinda Katiba ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, uungaji mkono wa Marekani kwa jinai za utawala wa Saudi Arabia dhidi ya wananchi wasio na ulinzi wa Yemen ni nembo ya wazi ya haki za binadamu za 'Shetani Mkubwa' yaani Marekani.
Habari ID: 3471584    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/07/05

TEHRAN (IQNA)- Kiongozi wa harakati ya mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon ameipongeza Malaysia kwa kuondoa askari wake katika muungano wa kijeshi unoongozwa na Saudia ambao umekuwa ukiwashambulia wananchi wasio na ulinzi Yemen tokea mwaka 2015.
Habari ID: 3471577    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/06/30

TEHRAN (IQNA)- Shirika la Madaktari Wasio na Mipaka (MSF) limelaani hatua ya ndege za kivita za Saudi Arabia kudondosha mabomu katika kituo kimoja cha afya cha kuwatibu watu wenye kipindupindu nchini Yemen ambacho kinasimamiwa na shirika hilo.
Habari ID: 3471555    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/06/13

TEHRAN (IQNA)- Ndege za kivita za utawala dhalimu wa Saudia Arabia zimedondosha mabomu katika maeneo ya raia ya mkoa wa Sa'ada kaskazini mwa Yemen nna kuua na kujeruhiwa raia 17 wakiwemo wanawake na watoto.
Habari ID: 3471440    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/03/22

TEHRAN (IQNA)- Wananchi wa Yemen wanakumbwa na jinamizi la mauti ambalo lilianza wakati Saudi Arabia, kwa himaya ya Marekani na Israel, ilianzisha hujuma dhidi ya nchi hiyo Machi 2015.
Habari ID: 3471310    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/12/15

TEHRAN (IQNA)- Harakati ya Ansarullah ya Yemen imevurumisha kwa mafanikio kombora la Cruz na kulenga Abu-Dhabi mji mkuu wa Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) ikiwa ni jibu kwa jinai UAE dhidi ya watu wa Yemen
Habari ID: 3471293    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/12/03

TEHRAN (IQNA)- Umoja wa Mataifa hatimaye umeiweka Saudi Arabia katika orodha nyeusi ya nchi zinazokiuka haki za watoto duniani kutokana na mauaji yanayotekelezwa na Jeshi la Saudia na waitifake wake dhidi ya watoto wa Yemen
Habari ID: 3471207    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/10/07

Amnesty International
TEHRAN (IQNA)-Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International wamesema kuwa, bomu lililoua raia 16 wa Yemen wakiwemo watu wote wa familia ya mtoto Buthaina aliyenusurika shambulizi hilo, lilitengenezwa nchini Marekani.
Habari ID: 3471187    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/09/23

TEHRAN (IQNA)-Mamilioni ya Wa yemen wameandamana katika mji mkuu Sana'a na maeneo mengine nchini humo katika mwaka wa pili tokea Saudia ianzishe vita vya kinyama dhidi ya taifa hilo na zaidi ya 12,000 kupoteza maisha na mamilioni ya wengine wengi kupoteza makao.
Habari ID: 3470909    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/03/26

IQNA: Umoja wa Mataifa umeonya kuwa baa la njaa limeenea katika nchi kadhaa za Afrika na Yemen ambapo mamilioni ya watu wakiwa katika hatari ya kupoteza maisha.
Habari ID: 3470866    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/02/23

Harakati ya Ansarullah nchini Yemen imekanusha madai ya Saudia kuwa imeshambulia msikiti wa Makkah.
Habari ID: 3470642    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/10/30

Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa ugaidi ni miongoni ma masaibu yanayoiumiza sana jamii ya mwanadamu.
Habari ID: 3470637    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/10/27

Khatibu wa Sala ya Ijumaa Tehran
Khatibu wa Sala ya Ijumaa mjini Tehran hatua ya Saudia kuwaua watoto nchini Yemen ni sawa na jinai za utawala wa Kizayuni wa Israel ambao umekuwa ukiwaua watoto Wapalestina huko Ghaza na pia nchini Lebanon.
Habari ID: 3470625    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/10/21

Raia wasiopungua 160 wameuawa kinyama katika mji mkuu wa Yemen Sana'a baada ya ndege za kijeshi za Saudi Arabia kuwashambulia walipokuwa katika kikao cha mazishi.
Habari ID: 3470606    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/10/09

Saudi Arabia imeendelea kukaidi wito wa kuundwa kamati ya kimataifa ya kutafuta ukweli kuhusu jinai zilizofanywa na utawala huo dhidi ya taifa la Yemen.
Habari ID: 3470601    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/10/06

Abdul-Malik Badreddin al-Houthi
Kiongozi wa Harakati ya Ansarullah nchini Yemen amesema Marekani ndiyo iliyotoa amri ya kushambuliwa nchi hiyo.
Habari ID: 3470574    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/09/21