Uzbekistan

IQNA

Historia ya Uislamu
TEHRAN (IQNA) – Jumba la Makumbusho La Louvre la Paris limefungua maonyesho mapya ambayo kwa kiasi fulani yanaonyesha baadhi ya kurasa za mojawapo ya nakala kongwe zaidi za Qur’ani Tukufu.
Habari ID: 3476344   Tarehe ya kuchapishwa : 2023/01/02

Umoja wa Waislamu
TEHRAN (IQNA) - Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Sayyid Ebrahim Raisi kwa mara nyingine tena
Habari ID: 3475791   Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/16

Kikao cha Tehran
TEHRAN (IQNA)-Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Nchi JIrani na Afghanistan mwishoni mwa kikao chao hapa Tehran wametoa taarifa ya pamoja na kusisitiza kuwa: njia pekee ya kuupatia ufumbuzi mgogoro wa Afghanistan ni kuasisi muundo mpana wa kisiasa kwa kuyashirikisha makundi yote ya nchi hiyo.
Habari ID: 3474482   Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/28

TEHRAN (IQNA)- Swala ya Ijumaa itaswaliwa tena nchini Uzbekistan kuanzia Septemba 4.
Habari ID: 3473131   Tarehe ya kuchapishwa : 2020/09/02

TEHRAN (IQNA) – Wanawake nchini Uzbekistan wameshiriki katika mashindano ya Qur'ani ambaye yamefanyika hivi karibuni katika mji mkuu, Tashkent.
Habari ID: 3472247   Tarehe ya kuchapishwa : 2019/12/01

TEHRAN (IQNA)-Jumba la Makumbusho la Sanaa, katika mji mkuu wa Uzbekistan, Tashkent. Uzbekistan nini nchi yenye idadi kubwa zaidi ya watu Asia ya Kati. Asilimia 80 ya wakaazi wa nchi hiyo ni Waislamu.
Habari ID: 3471775   Tarehe ya kuchapishwa : 2018/12/18