IQNA

10:12 - October 19, 2019
Habari ID: 3472178

Waislamu kutoka Kenya katika Arubaini ya Imam Hussein AS

Idadi kubwa ya waombolezaji Waislamu kutoka nchini Kenya wamejiunga na mamilioni ya wenzao katika matembezi ya Arubaini ya Imam Hussein AS huko mjini Karbala nchini Iraq.

captcha