TEHRAN (IQNA) – Klipu ya sauti ya qiraa ya Qarii Muirani Ustadh Kabir Qalandzadeh akisoma aya za Sura Sabah ya Qur’ani Tukufu imesambazwa katika mitandao ya kijamii.
Qarii Qalandzadeh, ambaye ni qarii wa Haram Takatifu ya Imam Ridha AS nchini Iran anasikika hapa akisoma aya za awali za Surah Saba.