IQNA

14:49 - May 09, 2021
News ID: 3473890
TEHRAN (IQNA)- Ijumaa iliyopita tarehe 7 Mei askari wa utawala haramu wa Israel walivamia msikiti mtakatifu wa al-Asqa katika mji wa Quds (Jerusalem). na kuwapiga kikatili Wapalestina waliokuwa wanatekeleza ibada zao katika msikiti huo. Shirika la Hilali Nyekundu ya Palestina limesema Wapalestina wasiopungua 205 wamejeruhiwa katika hujuma hiyo.

Askari hao wa utawala dhalimu wa Israel waliwapiga kikatili Wapalestina waliokuwa wanatekeleza ibada zao katika msikiti huo. Wapalestina wasiopungua 205 wamejeruhiwa katika hujuma hiyo ambayo imelaaniwa kimataifa.

 
 
Name:
Email:
* Comment:
* captcha: