IQNA

Wakazi wa Mashhad Iran waandamana kulaani mauaji ya wasichana Kabul

22:32 - May 11, 2021
Habari ID: 3473900
TEHRAN (IQNA)- Wakazi wa mji wa Mashhad, kaskazini mashariki mwa Iran wameandamana kulaani mauaji ya makumi ya raia, aghalabu wakiwa wasichana wa shule ambao waliuawa shahidi Jumamosi katika hujuma ya kigaidi dhidi ya shule ya Sayyid al Shuhadaa katika mtaa wa Dasht-e-Barchiwenye Waislamu wengi wa madhehebu ya Shia katika mji mkuu wa Afghanistan, Kabul.
 
 
Kishikizo: afghanistan ، kabul
Jina:
Baruapepe:
* maoni:
captcha