iqna

IQNA

kabul
Ugaidi Afghanistan
TEHRAN (IQNA)- Watu wasiopungua 32 wameuawa katika shambulio la kigaidi la mripuko wa bomu uliotokea mapema leo katika mji mkuu wa Afghanistan, Kabul.
Habari ID: 3475857    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/30

TEHRAN (IQNA)- Wanafunzi zaidi ya 27 wameuawa kufuatia hujuma ya kigaidi katika shule moja ya wavulana katika mji mkuu wa Afghanistan, Kabul Jumanne.
Habari ID: 3475141    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/04/19

TEHRAN (IQNA)- Waumini zaidi ya 60 wameopoteza maisha katika hujuma kigaidi dhidi ya msikiti wa Waislamu wa madhehebu ya Shia huku katika mji wa Kunduz kaskazini mashariki mwa Afghanistan.
Habari ID: 3474397    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/08

TEHRAN (IQNA)- Utawala wa Taliban nchini Afghanistan umetangaza habari ya kuuvunja mtandao wa genge la kigaidi la Daesh (ISIS) katika eneo la kaskazini mwa mji mkuu wa nchi hiyo, Kabul.
Habari ID: 3474383    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/05

TEHRAN (IQNA)- Raia wasiopungua watano wamepoteza maisha baada ya bomu lililotegwa mlangoni mwa msikiti wa Eid Gah mjini Kabul, kuripuka na kuwajeruhi watu wengine kadhaa waliokuwa wanahudhuria ibada ya kumbukumbu ya mama wa msemaji wa Taliban Zabihullah Mujahid.
Habari ID: 3474380    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/04

TEHRAN (IQNA)- Watoto wadogo ni miongoni mwa raia kadhaa waliouawa katika shambulio la ndege isiyo na rubani ya Marekani karibu na Uwanja wa Ndege wa Kabul, mji mkuu wa Afghanistan.
Habari ID: 3474239    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/08/30

TEHRAN (IQNA)- Matukio ya majuma mawili ya hivi karibuni nchini Afghanistan yameonyesha kuwa, makundi ya mapambano na muqawama katika eneo la Asia Magharibi yana nafasi muhimu katika kulinda mamlaka ya kujitawala pamoja na usalama wa mataifa yao.
Habari ID: 3474235    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/08/28

TEHRAN (IQNA)- Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imelaani vikali mashambulio ya kigaidi yaliyotokea katika eneo la uwanja wa ndege wa Kabul nchini Afghanistan jana Alkhamisi.
Habari ID: 3474230    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/08/27

TEHRAN (IQNA)-TEHRAN (IQNA)- Raia wa Afghanistan karibu 200 wakiwemo wanajeshi 13 wa Marekani wameuawa leo kufuatia hujuma katika uwanja wa ndege wa Kabul.
Habari ID: 3474229    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/08/26

TEHRAN (IQNA)- Rais wa Afghanistan Ashraf Ghani ameikimbia nchi yake leo jioni baada ya kundi la Taliban kuchukua udhibiti wa mji mkuu wa Kabul. Taarifa zinasema Ghani ameondoka Afghanistan na inaarifiwa amekimbilia taifa jirani la Tajikistan.
Habari ID: 3474191    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/08/15

TEHRAN (IQNA)- Watu wasiopungua 12 wameuawa na wengine zaidi ya 15 wamejeruhiwa katika mripuko wa bomu uliotokea ndani ya msikiti wa Haji Bakhshi ulioko kwenye eneo la Shakar Dara viungani mwa mji wa Kabul wakati waumini walipokuwa wako kwenye ibada ya Sala ya Ijumaa hapo jana.
Habari ID: 3473910    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/05/15

TEHRAN (IQNA)- Wakazi wa mji wa Mashhad, kaskazini mashariki mwa Iran wameandamana kulaani mauaji ya makumi ya raia, aghalabu wakiwa wasichana wa shule ambao waliuawa shahidi Jumamosi katika hujuma ya kigaidi dhidi ya shule ya Sayyid al Shuhadaa katika mtaa wa Dasht-e-Barchiwenye Waislamu wengi wa madhehebu ya Shia katika mji mkuu wa Afghanistan, Kabul.
Habari ID: 3473900    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/05/11

TEHRAN (IQNA)0 Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran (IRGC) limelaani vikali shambulizi la kigaidi lililolenga shule ya msingi ya Sayed Al-Shuhada mjini Kabul na kuitaja jinai hiyo kuwa ni njama ya Wamarekani ya kutaka kuhuisha ugaidi wa makundi ya kitakfiri na kuvuruga tena amani nchini Afghanistan.
Habari ID: 3473895    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/05/10

TEHRAN (IQNA)- Watu wasiopungua 53 wameuawa shahidi katika shambulizi la kigaidi lililolenga mkusanyiko wa Waislamu waliokuwa katika sherehe za Maulidi ya Bwana Mtume Muhammad (SAW) katika mji mkuu wa Afghanistan, Kabul.
Habari ID: 3471747    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/11/21

TEHRAN (IQNA)-Kundi la kigaidi la Taliban limedai kuhusika na hujuma iliyopelekea watu 35 kuuawa wameuawa na makumi ya wengine kujeruhiwa Jumatatu katika shambulio la kigaidi Kabul, mji mkuu wa Afghanistan.
Habari ID: 3471085    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/07/25