IQNA

Nafasi ya Imam Khomeini katika kuibua mwamko baina ya mataifa ni ya kipekee

13:05 - June 16, 2021
Habari ID: 3474010
TEHRAN (IQNA)- Nafasi ya Imam Khomeini-Mwenyezi Mungu-amrehemu katika kuibua mwamko katika mataifa na kudhihirisha taswira halisi ya maadui wa Uislamu imekuwa ni ya kipekee katika zama hizi.

Hayo ni kwa mujibu wa Ara Shaverdian mwakilishi wa Wakristo Waarmenia wa Tehran na Kaskazini mwa Iran katika Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu yaani Bunge la Iran. Aliyesema hayo katika kongamano la kimataifa mjini Tehran ambalo lilifanyika Juni 3 katika Haram Takatifu ya Imam Khomeini (MA) chini ya anuani ya "Imam Khomeini na Ulimwengu wa Kisasa".

/3474939

captcha