IQNA

Mchoro katika Msikiti wa Nasir al-Mulk, Shiraz Iran

17:55 - July 10, 2021
Habari ID: 3474086
TEHRAN (IQNA)- Mchoraji mahiri Muirani Hassan Rouholamin amechora mchora katika Msikiti wa Nasir al-Mulk ulio Shiraa kama sehemu ya harakati za sanaa na fashihi za 'Kongamano la Kimataifa la Muhammad SAW, Mtume wa Rahma."

Msikiti wa Nasir-ul-Mulk, ambao pia ni maarufu kama Msikiti wa Rangi ya Waridi, ni msikiti uliojengwa nkatika zama za watawala wa Qajar na uko katika eneo la Shiraz kusini mwa Iran.

Msikiti huo umejengwa kwa usanifu majengo wenye mvuto wa Kiirani ambao ni wa aina yake.

 
 
captcha