IQNA

Maonyesho ya 30 ya Kimataifa ya Qur'ani ya Tehran

11:48 - April 11, 2023
Habari ID: 3476849
TEHRAN (IQNA) – Maelfu ya watu hutembelea Maonyesho ya 30 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Tehran kila usiku katika mwezi mtukufu wa Ramadhani. Klipu hii inaangazia maonyesho hayo
captcha