TEHRAN (IQNA) – Msichana Muislamu nchini Marekani ameondolewa kwenye mashindano ya mbio za nyika kwa sababu ya kuvaa Hijabu.
Habari ID: 3472188 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/10/26
TEHRAN (IQNA) – Msikiti wa Jamia katika mji wa Nairobi, Kenya umefungua milango yake kwa wasiokuwa Waislamu kuutembelea ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya mwaka wa 94 wa ujenzi wake.
Habari ID: 3472187 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/10/26
TEHRAN (IQNA) – Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa ameendelea sera zake za chuki dhidi ya Uislamu kwa kusema anapinga vazi la staha la Hijabu la wanawake Waislamu kuvaliwa katika idara au taasisi za kiserikali zinazotoa huduma kwa umma.
Habari ID: 3472186 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/10/25
TEHRAN (IQNA) – Katika tukio la aina yake katika historia ya jamii ya Waislamu nchini Canada, idadi kubwa ya Waislamu wamechaguliwa bungeni katika uchaguzi uliofanyika Jumatatu.
Habari ID: 3472185 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/10/24
TEHRAN (IQNA) – Wizara ya Wakfu nchini Misri imetangaza kuwa duru ijayo ya Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani nchini humo imepewa jina la Qari maarufu wa nchi hiyo, al marhum Sheikh Abdul Basit Abdul Swamad.
Habari ID: 3472184 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/10/23
TEHRAN (IQNA) – Wapalestina yametoa wito kwa jamii ya kimataifa ichukua hatua za kuulinda Msikiti wa Al Aqsa ulio katika mji wa Quds (Jerusalem) unaokaliwa kwa mabavu na utawala haramu wa Israel.
Habari ID: 3472183 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/10/22
TEHRAN IQNA)- Kiongozi wa Hong Kong amewaomba radhi Waislamu baada ya polisi wa kuzima ghasia kuuhujumu msikiti mkubwa zaidi mjini humo wakati wa kukabiliana na waandamanaji Jumapili.
Habari ID: 3472182 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/10/21
TEHRAN (IQNA) - Waziri wa Wakfu na Masuala ya Kidini nchini Algeria amesema takribani wanafunzi milioni moja wanasoma wanaosoma Qur'ani katika nchi hiyo ya Afrika Kaskazini.
Habari ID: 3472181 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/10/20
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA) - Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa iwapo vijana watasimama kidete katika njia iliyonyooka na ya haki, basi wataweza kuleta mabadiliko katika taifa la Iran na dunia nzima kwa ujumla.
Habari ID: 3472180 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/10/19
Sayyed Hassan Nasrallah
TEHRAN (IQNA)- Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon Sayyid Hassan Nasrallah amesisitiza kuwa, uwepo wa mamilioni ya watu mjini Karbala ni jambo lisilo na mfano katika historia na kwamba Marekani, utawala haramu wa Kizayuni, mabeberu na madhalimu wa dunia wanahisi hofu kubwa kwa kushuhudia matembezi ya mamilioni ya watu katika Arubaini ya Imam Hussein AS
Habari ID: 3472179 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/10/19
TEHRAN (IQNA) - Mamilioni ya Waislamu na wasiokuwa Waislamu wanakusanyika katika mji mtakatifu wa Karbaka nchini Iraq kwa ajili ya kushiriki katika shughuli ya Arubaini ya Imam Hussein bin Ali bin Abi Twalib AS.
Habari ID: 3472177 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/10/18
Inna Lillah wa Inna Ilayhi Rajioun
TEHRAN (IQNA) - Waislamu wasiopungua 62 wameuawa na wengine zaidi ya 100 wamejeruhiwa katika hujuma kadhaa za kigaidi zilizotokea leo ndani ya msikiti wakati wa Sala ya Ijumaa katika mkoa wa Nangarhar mashariki mwa Afghanistan.
Habari ID: 3472176 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/10/18
TEHRAN (IQNA) –Madaktari wa kujitolea kutoka nchi 10 wanatoa huduma za kitiba bila malipo kwa wafnyaziara katika Arubaini ya Imam Hussein AS nchini Iraq.
Habari ID: 3472175 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/10/17
TEHRAN (IQNA)- Mufti Mkuu wa Misri amesisitiza kuhusu kusimamiwa ipasavyo hitilafu za kifiqhi baina ya Waislamu na kuhakikisha suala hilo halitumiwi vibaya na watu wenye misimamo mikali na magaidi kwa jina dini.
Habari ID: 3472174 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/10/16
TEHRAN (IQNA) – Serikali ya Afrika Kusini imetangaza kuwa inaendeleza mchakato wa kufunga ubalozi wake katika utawala wa Israel mwaka mmoja baada ya kumuondoa balozi wake Tel Aviv.
Habari ID: 3472173 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/10/15
Harakati ya Kiislamu ya Nigeria imetangaza kuwa hali ya kiafya ya Sheikh Ibrahim Zakzaky ni mbaya kutokana na alimu huyo kuendelea kuwekwa kizuizini kwa muda mrefu sasa.
Habari ID: 3472172 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/10/15
TEHRAN (IQNA)- Waumini wasiopungua 16 wameuawa baada ya watu waliobeba silaha kushambulia msikiti mmoja kaskazini mwa Burkina Faso.
Habari ID: 3472171 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/10/14
Kiongozi Muadhamu katika Mkutano na Waziri Mkuu wa Pakistan
TEHRAN (IQNA) - Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kwa muda sasa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imewasilisha mpango wa nukta nne wa kumaliza vita nchini Yemen na kuongeza kuwa: "Iwapo vita hivyo vitamalizika ipasavyo, basi jambo hilo linaweza kuwa na taathira chanya katika eneo.
Habari ID: 3472169 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/10/13
TEHRAN (IQNA) – Wairani zaidi ya milioni tatu wamejisajili kushiriki katika matembezi ya Arubaini ya Imam Hussein AS mwaka huu.
Habari ID: 3472168 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/10/12
TEHRAN (IQNA) - Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametoa taarifa baada ya kushambuliwa meli ya mafuta ya Iran karibu na bandari ya Jeddah, Saudi Arabia katika Bahari ya Shamu.
Habari ID: 3472167 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/10/11