TEHRAN (IQNA) – Awamu ya Tatu ya Zawadi ya Mustafa SAW 2019 imetangazwa Jumatatu katika mji mkuu wa Iran, Tehran, ambapo wanasayansi watatu wa Iran na wawili kutoka Uturuki wametangazwa washindi.
Habari ID: 3472211 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/11/12
TEHRAN (IQNA) - Waislamu waliowengi duniani wanataka umoja wa Kiislamu na wako katika harakati hiyo ya Umoja inayoongozwa na Iran.
Habari ID: 3472210 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/11/11
Mtume Muhammad SAW amesema: Waislamu wote ni ndugu na hakuna aliye bora zaidi ya mwingine ila katika Taqwa (Ucha Mungu). Kanz al-Ummal, Jildi 1, Uk 149. Nahjul Fasaha 3112
Habari ID: 3472209 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/11/11
TEHRAN (IQNA) – Makumi ya maelfu ya watu wa Yemen wameshiriki katika sherehe za Maulid ya Mtume Muhammad SAW katika miji mbali mbali ya nchi hiyo ambayo ingali inakabiliwa na hujuma kijeshi ya utawala dhalimu wa Saudi Arabia.
Habari ID: 3472208 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/11/10
Kufuatia Hukumu ya Mahakama
TEHRAN (IQNA) Mahakama Kuu ya India imewapokonya Waislamu ardhi ya Msikiti wa kihistoria wa Babri na kuwakabidhi Mabiniani (Wahindi) eneo hilo ili wajenge hekalu lao.
Habari ID: 3472207 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/11/09
TEHRAN (IQNA) -Rais Michel Aoun wa Lebanon ametangaza kuwa mafaili ya ufisadi wa kifedha yatafikishwa katika mahakama za nchi hiyo kwa ajili ya uchunguzi.
Habari ID: 3472206 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/11/08
TEHRAN (IQNA) – Kwa mara ya kwanza katika Msikiti wa Blauwe huko Amsterdam Uholanzi, kumeadhiniwa wakati wa Sala ya Ijumma kwa kutumia vipaza sauti.
Habari ID: 3472205 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/11/08
TEHRAN (IQNA) – Uchunguzi wa maoni umebaini kuwa asilimia 42 ya Waislamu Ufaransa wanabaguliwa au kubughudhiwa nchini humo.
Habari ID: 3472204 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/11/07
TEHRAN (IQNA)- Chama kikuu cha upinzani cha Bahrain, Al Wefaq, kimelaani kutolewa hukumu ya kifungo cha maisha jela dhidi ya kiongozi wake, Sheikh Ali Salman.
Habari ID: 3472203 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/11/06
TEHRAN (IQNA) - Kinara wa magaidi wakufurishaji wanaofungamana na mtandao wa Al Qaeda ameuawa nchini Mali katika oparesheni ya kijeshi.
Habari ID: 3472202 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/11/06
TEHRAN (IQNA)- Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres amesema bado anaendelea kuwa na wasiwasi mkubwa kuhusu hali ya Myanmar, ikiwemo katika jimbo la Rakhine kutokana na kukandamizwa Waislamu wa jamii ya Rohingya katika eneo hilo.
Habari ID: 3472201 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/11/05
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA) - Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema mazungumzo na Marekani hayajakuwa na matokeo yoyote na kusisitiza kuwa: " "Kupiga marufuku mazungumzo na Marekani ni moja ya njia muhimu za kuwazuia kujipenyeza nchini Iran."
Habari ID: 3472199 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/11/03
TEHRAN (IQNA) – Tarjuma ya kwanza ya Qur'ani Tukufu kwa lugha ya Kilatini imeonyeshwa katika Maonyesho ya 38 ya Kimataifa ya Vitabu (SIBF) huko Sharjah katika Umoja wa Falme za Kiarabu.
Habari ID: 3472198 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/11/03
TEHRAN (IQNA)-Chuo Kikuu cha Cairo nchini Misri kimeandaa warsha iliyojadili mada ya 'Vita Dhidi ya Ugaidi Kwa Mtazamo wa Qur'ani'.
Habari ID: 3472197 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/11/02
TEHRAN (IQNA) – Taasisi ya Darul Iftaa ya Misri imelaani vikali hatua ya gazeti la Kimarekani la Washington Post kumsifu kinara wa kundi la kigaidi la ISIS (Daesh) aliyeuawa kuwa eti alikuwa 'mwanazuoni wa kidini aliyishi kwa unyenyekevu na usahali'.
Habari ID: 3472195 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/10/31
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA) –Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyid Ali Khamenei amesema kuna siku Wapalestina watarejea katika ardhi zao ambazo sasa zinakaliwa kwa mabavu na utawala wa Kizayuni wa Israel.
Habari ID: 3472194 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/10/31
TEHRAN (IQNA) – Kiongozi wa Harakati ya Ansarullah ya Yemen ametahadharisha hujuma ya muungano wa kijeshi unaoongozwa na Saudi Arabia dhidi ya nchi hiyo na kusisitiza kuwa, amani haiwezi kurejeshwa nchini humo kupitia nguvu za kijeshi.
Habari ID: 3472193 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/10/29
Inna Lillah wa Inna Ilayhi Rajioun
TEHRAN (IQNA) - Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ametuma salamu za rambi rambi kufuatia kuaga dunia mwanazuoni mkubwa na mwenye jitihada Hujjatul Islam wal Muslimin Sayyid Ja'far Murtada al-Amili.
Habari ID: 3472192 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/10/28
Inna Lillah wa Inna Ilayhi Rajioun
TEHRAN (IQNA) – Ayatullahil Udhma Sayyid Ali al-Sistani Marjaa wa Mashia duniani aliyeko nchini Iraq ametuma salamu za rambi rambi kufuatia kuaga dunia Allahmah Sayyid Ja'far Murtada al-Amili.
Habari ID: 3472190 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/10/28
TEHRAN (IQNA) Waislamu leo wako katika maomboleo, simanzi na huzuni kubwa kwa mnasaba wa kukumbuka tukio chungu zaidi ya yote la kuaga dunia mbora wa Mitume wa Mwenyezi Mungu, Muhammad bin Abdullah SAW
Habari ID: 3472189 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/10/27