iqna

IQNA

TEHRAN (IQNA) – Wakuu wa eneo la Chechnya katika Shirikisho la Russia Ijumaa wametangaza kufungua msikito ambao wameutaja kuwa mkubwa Zaidi barani Ulaya.
Habari ID: 3472097    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/08/24

TEHRAN (IQNA) – Mcheza soka mstaafu wa kulipwa barani Ulaya, Frederic Oumar Kanoute, mwenye asili ya Afrika anaongoza mkakati wa kujenga msikiti huko Sevilla nchini Uhispania.
Habari ID: 3472096    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/08/23

TEHRAN (IQNA) - Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema anasikitishwa na hali waliyonayo Waislamu wa eneo la Kashmir nchini India.
Habari ID: 3472095    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/08/22

Katika Siku ya Kimataifa ya Msikiti
TEHRAN (IQNA)- Mjumbe wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) mjini Tehran amezikosoa nchi za Kiarabu kwa kuzembea kuhusu kadhia ya kuukomboa Msikiti wa Al Aqsa ulio katika mji wa Quds (Jerusalem) ambao unakaliwa kwa mabavu na utawala haramu wa Israel.
Habari ID: 3472094    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/08/21

TEHRAN (IQNA) – Waislamu wanakamatwa kiholela katika viwanja vya ndege na vituo vya mpakani Uingereza kwa visingizio vya ugaidi katika kile kinachoonekana ni sera rasmi ya chuki dhidi ya Uislamu.
Habari ID: 3472093    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/08/21

TEHRAN (IQNA)- Waislamu wa madhehebu ya Shia kote duniani leo wanaadhimisha sikukuu ya Ghadir ambayo ni kati ya siku muhimu zaidi katika kalenda ya historia ya Uislamu.
Habari ID: 3472092    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/08/20

TEHRAN (IQNA) – Mkaazi wa Canterbury, New Zealand anasema alivutiwa na Uislamu na kuamua kusilimu baada ya hujuma dhidi ya misikiti katika mji wa Christchurch nchini humo.
Habari ID: 3472091    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/08/19

TEHRAN (IQNA) – Polisi ya Norway imewashukuru wazee wawili Waislamu ambao walimshinda nguvu gaidi ambaye alikuwa analenga kuwaua Waislamu katika msikiti mmoja mjini Baerum.
Habari ID: 3472090    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/08/18

TEHRAN (IQNA) - Harakati ya Kiislamu ya Nigeria imetangaza kuwa, kiongozi wa harakati hiyo Sheikh Ibrahim Zakzaky amepelekwa mahala kusikojulikana mara baada ya kuwasili Abuja akitokea nchini India.
Habari ID: 3472088    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/08/18

TEHRAN (IQNA) -Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon ametahadharisha kuwa vita dhidi ya Iran ni sawa na vita dhidi ya mhimili mzima wa muqawama (mapambano ya Kiislamu) na kwa msingi huo amesisitiza kuwa: "Vita dhidi ya Iran vitawasha moto katika eneo lote ( Asia Magharibi)."
Habari ID: 3472087    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/08/17

TEHRAN (IQNA)- Utawala haramu wa Israel umewapiga marufuku wabunge wawili wa chama cha Democrat nchini Marekani Rashida Tlaib na Ilhan Omar kuingia ardhi za Palestina.
Habari ID: 3472086    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/08/16

TEHRAN (IQNA) - Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kukurubisha Pamoja Madhehebu za Kiislamu amefanya mazungumzo ya simu na Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria (IMN) Sheikh Ibrahim Zakzaky aliyepelekwa India kwa ajili ya matibabu.
Habari ID: 3472085    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/08/15

TEHRAN (IQNA) – Idadi kubwa ya vijana na watoto nchini Algeria wamejisajili kushiriki katika darsa za Qur'ani zinazofanyika katika misikiti na vituo vya Qur'ani katika mkowa wa Constantine kaskazini mashari mwa nchi hiyo.
Habari ID: 3472084    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/08/15

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA) - Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema, Saudi Arabia na Imarati zinataka kuigawanya Yemen; na akasisitiza kwamba: Inalazimu kusimama na kukabiliana kwa nguvu zote na njama hiyo na kuunga mkono Yemen moja, iliyoungana na yenye ardhi yake yote kamili.
Habari ID: 3472083    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/08/14

TEHRAN (IQNA) - Hatimaye Sheikh Ibrahim Zakzaky, Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria leo ameondoka Abuja na kuanza safari ya kuelekea nchini India kwa ajili ya matibabu.
Habari ID: 3472081    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/08/13

TEHRAN (IQNA) – Rais Bashar al Assad wa Syria leo asubuhi ameshiriki katika Sala ya Idul Adha iliyofanyika katika Msikiti wa al-Afram mjini Damascus.
Habari ID: 3472078    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/08/11

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu katika ujumbe kwa Mahujaji
TEHRAN (IQNA) – Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyid Ali Khamenei ametoa wito kwa mataifa ya Waislamu kuungana kukabiliana na njama ya Marekani ya kile inachokitaja kuwa eti ni 'Muamala wa Karne' kuhusu kadhia ya Palestina.
Habari ID: 3472077    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/08/10

TEHRAN (IQNA) - Huduma ya treni ya mwendo kasi itaanza kutumika kwa mara ya kwanza mwaka huu katika Ibada ya Hija.
Habari ID: 3472076    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/08/09

TEHRAN (IQNA) - Mahujaji wa Nyumba Tukufu ya Mwenyezi Mungu, al Kaaba leo wameelekea Mina kwa ajili ya kutekeleza ibada ya siku ya Tarwiya hiyo kesho tarehe 8 Dhilhaji katika eneo hilo tukufu.
Habari ID: 3472075    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/08/09

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA) -Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema: "Ustawi wa sayansi zenye faida kwa Iran ni jambo linalowezekana na ustawi huo unapaswa kuwa kwa msingi mtazamo wa kimapinduzi na fikra za Kiislamu."
Habari ID: 3472074    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/08/08