TEHRAN (IQNA) – Imamu wa Msikiti wa Chesham huko Buckinghamshire nchini Uingereza, Sheikh Arif Hassan amezitunuku maktaba za eneo hilo nakala 20 za Qur'ani Tukufu zilizotarjumiwa kwa lugha ya Kiingereza.
Habari ID: 3472165 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/10/10
TEHRAN (IQNA) – Duruy a Nne ya Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani Maalumu kwa Wanawake ya Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) yatakuwa na washiriki kutoka nchi 120.
Habari ID: 3472164 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/10/10
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA) - Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amepongeza msimamo imara na wa kishujaa wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kuhusiana na uharamu wa kutumia bomu la nyuklia na kusema kuwa: Iran haiwekezi kwa ajili ya kutengeneza na kutunza bomu ya nyuklia.
Habari ID: 3472163 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/10/09
TEHRAN (IQNA) - Muuza mihadarati wa zamani nchini Uturuki ambaye hadi sasa ametumikia kifungo cha mwaka moja na nusu gerezani amewafnaikiw akuhifadhi Qur'ani Tukufu kikamilifu.
Habari ID: 3472162 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/10/08
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA)- Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu usiku wa kuamkia Jumatatuametuma ujumbe katika ukurasa wake wa Twitter kuhusiana na machafuko ya hivi karibuni nchini Iraq akisisitiza udharura wa kuwepo umoja na mshikamano kati ya mataifa ya Iran na Iraq.
Habari ID: 3472161 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/10/07
TEHRAN (IQNA) – Wenye ulemavu wa macho katika Jamhuri ya Kiislamu ya Irana watakabidhiwa nakala maalumu za Qur'ani zilizoandikwa kwa maandisi ya Nukta Nundu ama Braille.
Habari ID: 3472160 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/10/07
TEHRAN (IQNA)- Shule ya upili imefunugliwa Misri na kupewa jina la mcheza soka mashuhuri wa nchi hiyo, Mohammad Salah.
Habari ID: 3472159 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/10/05
TEHRAN (IQNA) – Utulivu umerejea katika mji mkuu wa Iraq Baghdad, baada ya machafuko ya siku kadhaa.
Habari ID: 3472158 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/10/04
Meja Jenerali Qassem Suleimani
TEHRAN (IQNA) - Meja Jenerali Qassem Suleimani Kamanda wa Kikosi cha Qods katika Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) amefanya mahojiano kwa mara ya kwanza baada ya miaka 20 na kutoa ufafanuzi wa kina kuhusu vita vya siku 33 vya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Lebanon, Hizbullah, na utawala wa Kizayuni wa Israel.
Habari ID: 3472157 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/10/03
Kiongozi Muadhamu
TEHRAN (IQNA) - Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ameashiria kufeli siasa za Marekani za kuiwekea Iran mashinikizo ya juu zaidi na kutosalimu amri Tehran mbele ya mashinikizo hayo ya mfumo wa kibeberu na kusisisitiza kuwa, Iran itaendelea kwa nguvu zote kupunguza ahadi zake ndani ya mapatano ya nyuklia ya JCPOA hadi itakapofikia lengo lililokusudiwa.
Habari ID: 3472156 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/10/02
TEHRAN (IQNA) – Viongozi wa Uturuki, Pakistan na Malayasia wametangaza azma yao ya kuanzisha televisheni kwa lugha ya Kiingereza kwa lengo ka kukabiliana na wimbi la chuki dhidi ya Uislamu (Islamophobia).
Habari ID: 3472155 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/10/01
TEHRAN (IQNA)- Chuo Kikuu cha Kiislamu cha Al Azhar nchini Misri kimetangaza mpango wa kuwawezesha vijana kuhifadhi Qur'ani Tukufu kwa kutumia programu ya kompyuta inayojulikana kama 'Kitabu cha Kielektroniki'.
Habari ID: 3472154 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/09/30
TEHRAN (IQNA) – Makumi ya maelfu ya watu kutoka kote Senegal walijumuika katika mji mkuu wa nchi hiyo, Dakar, Ijumaa iliyopita kushuhudia kufungulwia rasmi msikiti ambao umetajwa kuwa mkubwa zaidi katika eneo la Afrika Magharibi.
Habari ID: 3472153 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/09/29
TEHRAN (IQNA) – Mashindano yajayo ya kimataifa ya Qur'ani ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran yamepangwa kufanyika katika Mji Mtakatifu wa Mashhad, kaskazini mashariki mwa nchi.
Habari ID: 3472152 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/09/28
TEHRAN (IQNA) - Baada ya kupita karibu mwaka mmoja tangu mauaji ya mwandishi na mkosoaji wa utawala wa Saudi Arabia Jamal Khashoggi, mrithi wa ufalme wa nchi hiyo Muhammad bin Salman amekana kuhusika na mauaji hayo lakini amekubali kubeba dhima na lawama zake.
Habari ID: 3472150 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/09/28
TEHRAN (IQNA) - Vyama vya Kiislamu nchini Sudan vimelaani mpango wa serikali ya mpito ya nchi hiyo wa kuanzisha uhusiano na utawala haramu wa Israel.
Habari ID: 3472149 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/09/27
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA) - Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza namna malengo ya uadui wa nchi za Ulaya dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu kimsingi yasivyo na tofauti na ya adui Marekani na kueleza kuwa: Nchi za Ulaya kidhahiri zinajidhihirisha kuwa patanishi na kusema maneo mengi lakini yote hayo ni maneno matupu.
Habari ID: 3472148 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/09/26
Rais Rouhani katika Umoja wa Mataifa
TEHRAN (IQNA) -Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema ni jambo lisiloyumkinika kwa taifa hili kufanya mazungumzo na adui likiwa chini ya mashinikizo na vikwazo vya kidhalimu na vilivyo kinyume cha sheria.
Habari ID: 3472147 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/09/26
TEHRAN (IQNA) – Mtandao wa Haki za Binadamu Syria umesema hadi sasa muungano wa kijeshi unaaongozwa na Marekani umeua raia 3,000 Wasyria, wakiwemo watoto 924.
Habari ID: 3472146 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/09/24
TEHRAN (IQNA) – Rais Recep Tayyip Erdogan wa Uturuki, ambaye yuko New York kuhudhuria mkutano wa 74 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa amesema nchi yake itaendelea kuunga mkono harakati za ukombozi wa Palestina.
Habari ID: 3472145 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/09/23