iqna

IQNA

TEHRAN (IQNA)- Kwa akali watu 20 wameuawa na wengine 24 kujeruhiwa kufuatia tukio la hujuma ya kigaidi lililotokea leo Jumapili katika jimbo la Texas nchini Marekani.
Habari ID: 3472070    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/08/04

TEHRAN (IQNA)- Rais mpya wa Mauritania, Mohammad Ould Ghazouani, amehifadhi Qur'ani Tukufu kikamilifu.
Habari ID: 3472069    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/08/04

TEHRAN (IQNA) - Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amebainisha msimamo wake kuhusu jinai za hivi karibuni za utawala wa kiimla wa Bahrain ambao umewanyonga kidhalimu vijana wawili wapinzani katika nchi hiyo ndogo ya Ghuba ya Uajemi.
Habari ID: 3472067    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/08/01

TEHRAN (IQNA)- Jeshi la Sudan limetaka wahusika wachukuliwe hatua baada ya waandamanaji watano wakiwemo wanafunzi wanne kuuawa kwa kupigwa risasi katika maandamano ya jana nchini Sudan.
Habari ID: 3472066    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/08/01

TEHRAN (IQNA)- Umoja wa Mataifa umelaani vikali hatua ya utawala wa Aal Khalifa huko Bahrian kuwanyonga vijana wawili wapinzani.
Habari ID: 3472065    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/07/31

TEHRAN (IQNA) – Harakati ya Kiislamu nchini Nigeria(INM) imetangaa imelaani amuzi wa mahakama ya nchi hiyo kuiruhusu serikali kuitangaza harakati hiyo kuwa kundi la ‘kigaidi’.
Habari ID: 3472062    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/07/29

TEHRAN (IQNA) - Utawala wa kiimla wa ukoo wa Aal Khalifa nchini Bahrian umelaanivwa vikali baada ya kuwanyonga vijana wawili raia wa nchi hiyo kwa tuhuma zisizo na msingi za kumuua afisa wa wizara ya mambo ya ndani mwaka 2017.
Habari ID: 3472061    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/07/28

TEHRAN (IQNA)- Kongamano la kimataifa la masomo ya Qur'ani limefanyika katika mji wa Tangier nchini Morocco.
Habari ID: 3472058    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/07/28

TEHRAN (IQNA) -Jumuiya za kimataifa na taasisi kadhaa za kutetea haki za binadamu duniani zimelaani jinai iliyofanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel ya kubomoa nyumba za Wapalestina kusini mwa Quds (Jerusalem) inayokaliwa kwa mabavu.
Habari ID: 3472054    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/07/23

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA)- Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza kuwa, ushindi haupatikani bila ya muqawama na mapambano na kwa mujibu wa ahadi isiyo na shaka ya Mwenyezi Mungu, hatima ya kadhia ya Palestina bila shaka itakuwa ni kwa manufaa ya Wapalestina.
Habari ID: 3472053    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/07/22

TEHRAN (IQNA) - Mashinikizo ya Marekani, Utawala wa Kizayuni wa Israel na Saudi Arabia ni chanzo kikuu cha serikali ya Nigeria kuendelea kumshikilia kinyume cha sheria kiongozi wa harakati ya Kiislamu nchini humo Sheikh Ibrahim Zakzaky.
Habari ID: 3472050    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/07/21

Taarifa ya IRGC
TEHRAN (IQNA) - Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran IRGC limetangaza kuwa limesimamisha meli moja ya mafuta ya Uingereza baada ya kukiuka sheria za kimataifa za ubaharia katika Lango Bahari la Hormuz.
Habari ID: 3472049    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/07/20

TEHRAN (IQNA) - Wahalifu wameuhujumu msikiti na kuvunjia heshima nakala za Qur'ani Tukufu maghairbi mwa Ujerumani.
Habari ID: 3472048    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/07/19

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA) - Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amekosoa vikali misimamo ya nchi za Ulaya na kushindwa kwao kutekeleza ahadi zao ndani ya mapatano ya nyuklia ya JCPOA na kusisitiza kwa kusema: "Sisi ndio kwanza tumeanza kupunguza hadi zetu ndani ya mapatano hayo na bila ya shaka tutaendelea tu kupunguza utekelezaji wa ahadi zetu ndani ya JCPOA."
Habari ID: 3472047    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/07/18

TEHRAN (IQNA) - Wabunge katika Kongresi ya Marekani ambayo walidhalilishwa na Rais Donald Trump wa nchi hiyo wamesema hawatatishika.
Habari ID: 3472046    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/07/16

TEHRAN (IQNA) - Wanafunzi wa vyuo vikuu nchini Iran wameandamana kulalamikia kuendelea kushikiliwa kushikiliwa kinyume cha sheria Sheikh Ibrahim Zakzaky, Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria.
Habari ID: 3472045    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/07/15

Sayyid Hassan Nasrallah
TEHRAN (IQNA) - Sayyid Hassan Nasrullah Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesisitiza suala la kuimarika kwa nguvu na uwezo wa kujihami na kufanya mashambulizi wa wanamapambano katika kipindi cha miaka 13 iliyopita.
Habari ID: 3472042    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/07/14

TEHRAN (IQNA) -Watu 26 wameuawa na makumi ya wengine kujeruhiwa kufuatia shambulio la kigaidi dhidi ya hoteli moja kusini mwa Somalia.
Habari ID: 3472041    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/07/13

TEHRAN (IQNA) - Watawala wa Saudi Arabia wamekasirishwa na kitendo cha Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) cha kuwaondosha nchini Yemen idadi kubwa ya wanajeshi wake.
Habari ID: 3472040    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/07/12

TEHRAN (IQNA) - Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran lina mpango wa kuanzisha vituo 50 vya kuhifadhi Qur'ani (Darul Tahfidhul Qur'an) katika vitengo kadhaa vya jeshi hilo.
Habari ID: 3472039    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/07/11