TEHRAN (IQNA)- Mkuu wa Muungano wa Wasomaji na Waliohifadhi Qur'ani nchini Indonesia amesema hivi sasa kuna vituo 23,000 vya kufunza Qur'ani katika nchi hiyo ya kusini mashariki mwa Asia.
Habari ID: 3472003 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/06/16
TEHRAN (IQNA) - Maafisa 10 wa polisi wameuawa baada ya gari lao kukanyaga bomu la kutegwa ardhini katika kaunti ya Wajir, katika eneo la kaskazini mashariki mwa Kenya.
Habari ID: 3472002 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/06/15
TEHRAN (IQNA) – Gaidi wa Australia aliyetekeleza mauaji ya Waislamu 51 katika misikiti miwili mjini Christchurch nchini New Zealand mwezi Machi ameiambia mahakama kuwa hana hatia.
Habari ID: 3472001 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/06/14
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA)- Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema: "Jamhuri ya Kiislamu ya Iran haiimaini Marekani hata kidogo na uzoefu mchungu wa mazungumzo yaliyotangulia na Marekani katika fremu ya JCPOA kamwe hautarudiwa tena kwani hakuna taifa lolote huru na lenye akili litakubali kufanya mazungumzo chini ya mashinikizo."
Habari ID: 3472000 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/06/13
TEHRAN (IQNA) Jumatano tarehe nane Shawwal 1440 Hijria, sawa na tarehe pili Juni 2019 ni kumbukumbu ya Mawahhabi kubomoa makaburi ya Ahul Bayt wa Mtume SAW ya Jannatul Baqii katika mji mtakatifu wa Madina takribani miaka 97 iliyopita.
Habari ID: 3471999 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/06/13
TEHRAN (IQNA) – Paul Pogba, nyota wa timu ya Manchester United Ligu Kuu ya England nchini Uingereza anasema imani imani yake ya Kiislamu imemfanya awe mwanadamu bora.
Habari ID: 3471997 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/06/12
TEHRAN (IQNA)- Shirika moja la kiteknolojia nchini Malaysia limefanikiwa kutegeneza browser ya kwanza duniani ambayo inaenda kwa mujibu wa mafundisho ya Kiislamu kwa lengo la kuwahudumia Waislamu bilioni 1.8 duniani ili waweze kuwa na mazingira halali na salama katika intaneti.
Habari ID: 3471996 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/06/12
TEHRAN – (IQNA)- Muungano wa makundi ya upinzani yanayoongoza vugu vugu dhidi ya utawala wa kijeshi Sudan umetangaza mpango wa kuteua watu wanane katika baraza la mpito katika nchi hiyo ambayo inakumbwa na msukusuko mkubwa wa kisiasa.
Habari ID: 3471995 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/06/11
TEHRAN (IQNA) – Washindi wa mashindano ya Qur'ani ambayo yaliandaliwa kwa pamoja na Radio Bilal na Kituo cha Utamaduni cha Iran nchini Uganda wametangazwa katika sherehe iliyofanyika katika mji mkuu wa nchi hiyo, Kampala.
Habari ID: 3471994 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/06/10
TEHRAN (IQNA) – Mashindano ya Qur'ani yamefanyika nchini Uswisi kwa himaya ya Jumuiya ya Kimataifa la Al Raham ya nchini Kuwait.
Habari ID: 3471992 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/06/10
TEHRAN (IQNA)- Mabaki ya miili ya Waislamu 12 ambao waliuawa katika vita vya ndani vya Bosnia kati ya mwaka 1992-95 yamepatikana katika kaburi la umati karibi na mji wa Sarajevo.
Habari ID: 3471991 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/06/09
TEHRAN (IQNA)- Sergio Ricardo Messias Neves, ambaye pia anajulikana kama Sergio au Serginho, ni mchazaji wa zamani wa soka nchini Brazil ambaye alisilimu baada ya kucheza soka katika nchi kadhaa za Mashariki ya Kati (Asia Magharibi).
Habari ID: 3471990 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/06/08
TEHRAN (IQNA) – Qarii (msomaji wa Qur'ani) kutoka Iraq ameibuka mshindi katika Duru ya 12 ya mashindano ya kimataifa ya kusoma Qur'ani (qiraa) ambayo hufanyika mubashara au moja kwa moja kupitia Televisheni ya Al Kauthar ya Iran.
Habari ID: 3471989 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/06/07
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA)- Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amekumbusha kuhusu pendekezo la Jamhuri ya Kiislamu la kufanyika kura ya maoni ya kuainisha hatima ya taifa la Palestina.
Habari ID: 3471988 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/06/05
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA)- Kiingozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu suala la Palestina na njama za uhaini za Marekani kupitia mpango wake wa 'Muamala wa Karne' ni kadhia ya kwanza kwa ulimwengu wa Kiislamu.
Habari ID: 3471987 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/06/05
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA)- Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesem siri ya kuendelea kubakia hai na kuwa na mvuto fikra za Imam Khomeini MA, inatokana na sifa maalumu ya shakhsia na tunu aliyopewa na Mwenyezi Mungu.
Habari ID: 3471986 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/06/05
Mtume Muhammad SAW anasema: “Pambeni idi zenu kwa (kutamka) Allahu Akbar. (Kanz al Ummal: Hadithi 24094)
Habari ID: 3471984 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/06/04
TEHRAN (IQNA)- Hali si shwari nchini Sudan. Taarifa kutoka Khartoum, mji mkuu wa nchi hiyo zinaarifu kuwa, kwa akali watu watano wameuawa baada ya maafisa usalama nchini humo kushambulia kwa risasi hai maandamano ya wananchi wanaolalamikia hatua ya jeshi la nchi hiyo kung'ang'ania madaraka.
Habari ID: 3471983 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/06/03
TEHRAN (IQNA)- Wanajeshi na walowezi wa Kizayuni wameuvamia na kuvunjia heshima Msikiti wa al Aqsa na matukufu mengine ya Kiislamu.
Habari ID: 3471981 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/06/02
Sayyed Hassan Nasrallah
TEHRAN (IQNA)- Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon amelaani mpango wa Rais Trump wa Marekani wa kile anachodai kuwa 'amani Mashariki ya Kati'.
Habari ID: 3471980 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/06/01