TEHRAN (IQNA) – Mamillioni ya wananchi wa Iran walioshiriki katika maandamano ya Siku ya Kimataifa ya Quds ambapo wametangaza azma yao ya kuendelea kuunga mkono ukombozi wa Palestina.
Habari ID: 3471978 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/05/31
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA) Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza kwamba kulitetea taifa la Palestina ni kadhia kibinaadamu na kidini.
Habari ID: 3471977 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/05/30
Rais Hassan Rouhani
TEHRAN (IQNA) - Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amebainisha kuwa Palestina na Quds ni nembo ya mapambano ya Waislamu wote na kuongeza kuwa Israel ni nembo ya wavamizi ulimwenguni wanaotaka kuwadhulumu Waislamu.
Habari ID: 3471976 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/05/29
TEHRAN (IQNA)- Mashindano ya 7 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Uturuki yamemalizika kwa kutunukwia zawadi washindi.
Habari ID: 3471975 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/05/28
TEHRAN (IQNA) - Harakati ya Ukombozi wa Palestina (PLO) imetoa wito kwa jamii ya kimataifa kususia kongamano ambalo Marekani imeitisha nchini Bahrain ambalo Wapalestina wanamini kuwa linalenga kusambaratisha haki zao.
Habari ID: 3471973 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/05/27
Katibu Mkuu wa Hizbullah
TEHRAN (IQNA) - Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema: "Wote wanawajibika kukabiliana na mpango wa Marekani wa "Muamala wa Karne" ambao lengo lake ni kusambaratisha kadhia ya Palestina.
Habari ID: 3471972 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/05/26
TEHRAN (IQNA) – Waislamu na wasiokuwa Waislamu kote duniani wanajitayarisha kudhimisha Siku ya Kimataifa ya Quds (Jerusalem) kwa lengo la kutangaza kufungamana kwao na malengo ya ukombozi wa ardhi za Palestina ambazo zinakaliwa kwa mabavu na utawala wa Kizayuni wa Israel.
Habari ID: 3471971 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/05/25
TEHRAN (IQNA)- Taasisi ya Kiislamu ya Diyanet (TDV) ya Uturuki imechapisha tarjuma ya Qur'ani Tukufu kwa lugha ya Kiamhara ya Waislamu wa Ethiopia.
Habari ID: 3471970 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/05/24
TEHRAN (IQNA) - Polisi katika jimbo la Scoltand nchini Uingereza wanachunguza kitendo cha uhalifu cha chuki dhidi ya Uislamu (Islamophobia) baada ya maandishi dhidi ya Waislamu kupatikana yameandikwa katika kuta za msikiti eneo hilo.
Habari ID: 3471969 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/05/23
TEHRAN (IQNA)- Gaidi raia wa Australia aliyefanya mauaji ya umati dhidi ya Waislamu katika mji wa Christchurch huko New Zealand amefikishwa kizimbani kujibu mashtaka.
Habari ID: 3471968 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/05/22
Bi. Marziyah Hashemi
TEHRAN (IQNA) – Mmarekani-Muirani mwenye asili ya Afrika, Bi. Marzieh Hashemi anasema msingi wa Tauhidi (kumpwekesha Mwenyezi Mungu) ni nukta ambayo ilimvutia katika Uislamu na kumfanya asilimu.
Habari ID: 3471967 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/05/21
TEHRAN (IQNA)- Rais John Magufuli wa Tanzania amehuhdhuria Mashindano ya Kimataifa ya Kusoma na Kuhifadhi Qur’ani yaliyofanyika Jumapili Mei 19.
Habari ID: 3471966 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/05/21
TEHRAN (IQNA)- Washindi wa Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani ya Dubai wametangazwa Jumapili usiku baada ya kuchuana kwa muda wa siku 12.
Habari ID: 3471965 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/05/20
TEHRAN (IQNA) – Muungano wa kivita unaoonogzwa na Saudi Arabia umebomoa zaidi ya misikiti 1,024 tangu uanzishe vita dhidi ya Yemen mwaka 2015, amesema afisa wa ngazi za juu wa Harakati ya Ansarullah ya Yemen.
Habari ID: 3471964 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/05/19
TEHRAN (IQNA)- Mwanamke mmoja Mjapani anasema mashambulizi ya Septemba 11 2001 nchini Marekani yalimpelekea afanye utafiti wa kina kuhusu Uislamu na hatimaye akaamua kusilimu.
Habari ID: 3471962 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/05/18
TEHRAN (IQNA) – Nakala ya Qur'ani Tukufu iliyoandikwa kwa herufi za Kiarabu za Borno imezinduliwa nchini Nigeria.
Habari ID: 3471960 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/05/16
TEHRAN (IQNA)- Mkurugenzi wa Kitengo cha Kimataifa cha Maonyesho ya 27 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Tehran amesema kushirikiana na taasisi za kimataifa za Qur'ani ni moja kati ya malengo muhimu ya maonyesho ya mwaka huu.
Habari ID: 3471959 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/05/16
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA) - Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu hakutakuwa na vita baina ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kuingia vitani na Marekani licha ya kushtadi taharuki baina ya pande mbili na kusisitiza kuwa, Washington inafahamu vyema kuwa, kuingia katika vita na Tehran hakutakuwa na maslahi yoyote kwake.
Habari ID: 3471958 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/05/15
TEHRAN (IQNA)- Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres Jumanne hii amekutana na majeruhi na familia zilizopoteza wapendwa wao katika shambulizi la kigaidi dhidi ya misikiti miwili ya New Zealand mnamo Machi 15 mwaka huu.
Habari ID: 3471955 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/05/14
TEHRAN (IQNA) – Maonyesho ya 27 ya Kimataifa ya Qur’ani ya Tehran mwaka huu yana mipango 126 ya ubunifu katika sekta ya Qur’ani na hivyo kuyafanya yawe ya kipekee.
Habari ID: 3471954 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/05/13