TEHRAN(IQNA)-Kitengo cha wanawake cha Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani ya Jordan yamepangwa kuanza Jumatano Machi 29.
Habari ID: 3470910 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/03/27
IQNA: Serikali ya Jordan imekosolewa vikali kwa kuondoa zaidi ya aya 290 za Qur'ani Tukufu na Hadithi za Mtume SAW katika vitabu vya shule nchini humo.
Habari ID: 3470837 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/02/07
Mashindano ya Kimataifa ya Qur’ani ya Jordan kwa ajili ya wanawake yameanza Jumapili kwa kuhudhuriwa na Waziri wa Awqaf nchini humo pamoja na mabalozi wa nchi kadhaa.
Habari ID: 3470239 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/04/11
Musa Motamedi hafidh wa Qur’ani kutoka Iran ameshika nafasi ya kwanza katika mashindano ya kimataifa ya Qur’ani katika mji mkuu wa Russia, Moscow.
Habari ID: 3384686 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/10/12
Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imelaani vikali hatua ya mgaidi wa kundi la Daesh (ISIL) kumuwa kinyama rubani wa Jordan aliyekuwa ametekwa nyara na kundi hilo.
Habari ID: 2811515 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/02/04
Sheikh Mkuu wa al Azhar nchini Misri Ahmad al Tayyib ametoa taarifa akilaani kitendo cha kundi la kigaidi la Daesh cha kumchoma moto akiwa hai rubani Moaz al-Kassasbeh wa Jordan. Amekitaja kitendo hicho kuwa ni cha kigaidi na kishetani.
Habari ID: 2809497 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/02/04