Kadhia ya Nyuklia
TEHRAN (IQNA)- Rafael Grossi, Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki IAEA jana Jumanne alifanyiwa mahojiano makao makuu ya wakala huo mjini Vienna; na moja ya masuali aliyoulizwa ni kuhusu takwa la Iran la kumtaka alaani hujuma zilizofanywa dhidi ya vituo vyake vya nyuklia.
Habari ID: 3475356 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/06/09
Rais Hassan Rouhani
TEHRAN (IQNA) - Rais Hassan Rouhani wa Iran amesema moja ya fahari za Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ni kuwa inawaruhusu wanawake waendeleze harakati zao katika sekta mbali mbali.
Habari ID: 3472893 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/06/24
Spika wa Bunge la Iran
TEHRAN (IQNA) - Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu, Bunge la Iran, ametoa kauli baada ya Bodi ya Magavana ya Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) kupitisha azimio dhidi ya Iran na kusema: "Nchi za Magharibi na hasa Marekani na baadhi ya nchi za Ulaya kwa mara nyingine tena zimedhihirisha utambulisho wao hasimu na wa kutoaminika mbele ya taifa la Iran."
Habari ID: 3472884 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/06/21