mvua

IQNA

IQNA – Video na picha zinazoonyesha mvua inayonyesha juu ya Kaaba Tukufu katika Msikiti Mkuu katika mji wa Makka zimevuma  na kuvutia wengie kwenye majukwaa ya mitandao ya kijamii.
Habari ID: 3479967   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/28

Hali ya hewa
IQNA - Paa la msikiti katika Chuo Kikuu cha Mfalme Fahd liliporomoka kutokana na mvua kubwa iliyonyesha Jumatano jioni huko Dhahran, Saudi Arabia.
Habari ID: 3478761   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/05/03

Mji wa Makka
TEHRAN (IQNA) – Mvua kwa kawaida hunyesha katika mji mtakatifu wa Makka kwa kiasi kidogo kati ya Novemba na Januari. Ijumaa, Novemba 11, ilikuwa siku ya neema ya mvua katika mji mtakatifu.
Habari ID: 3476080   Tarehe ya kuchapishwa : 2022/11/13

Kiangazi duniani
TEHRAN (IQNA) – Rais wa Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) ametoa wito kwa wauminikuhudhuria sala ya Istisqa siku ya Ijumaa, Novemba 11.
Habari ID: 3476057   Tarehe ya kuchapishwa : 2022/11/08

TEHRAN (IQNA) – Mvua kubwa na za ghafla zimeruhusiwa katika msikiti wa Masjid An Nabawi (Msikiti wa Mtume SAW) katika mji wa Madina, Saudi Arabia, Jumapili jioni.
Habari ID: 3473030   Tarehe ya kuchapishwa : 2020/08/03