IQNA

Video za mvua zinayonyesha Kaaba zavuma kwenye mitandao ya kijamii

22:08 - December 28, 2024
Habari ID: 3479967
IQNA – Video na picha zinazoonyesha mvua inayonyesha juu ya Kaaba Tukufu katika Msikiti Mkuu katika mji wa Makka zimevuma  na kuvutia wengie kwenye majukwaa ya mitandao ya kijamii.

 

Picha hizo zinazoonyesha mvua kubwa, ambayo wengi wameielezea kama baraka, zimesambazwa sana na kusherehekewa mtandaoni. Katika saa za mapema za Jumamosi, miji ya Makka na Jeddah, kusini magharibi mwa Saudi Arabia, ilipata mvua kubwa na mafuriko ya ghafla.

4256560

Kishikizo: mvua makka
captcha