msikiti - Ukurasa 9

IQNA

TEHRAN (IQNA)- Kituo cha zamani cha polisi katika mji wa Cardiff eneo la Wales nchini Uingereza kitabadilishwa kuwa msikiti.
Habari ID: 3474840   Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/23

TEHRAN (IQNA)- Mkuu wa Jumuiya ya Tanzim Islami (TI) ya Pakistan amelaani vikali hatua ya Ufaransa kufunga msikiti katika mji wa Cannes nchini humo.
Habari ID: 3474809   Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/15

TEHRAN (IQNA)- Ufaransa imeendeleza ukandamizaji wake wa Waislamu kwa kutangaza kufunga msikiti mmoja katika mji wa Cannes.
Habari ID: 3474802   Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/13

TEHRAN (IQNA)- Waislamu nchini Marekani wanataka uchunguzi ufanyike baada ya msikiti kuhujumiwa katika mji wa Waterloo jimboni Iowa.
Habari ID: 3474775   Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/06

TEHRAN (IQNA)- Msikiti wa Jamia mjini Glasgow, Scotland sasa ni kituo cha kuwadunga watu dozi ya tatu ya chanjo ya COVID-19.
Habari ID: 3474736   Tarehe ya kuchapishwa : 2021/12/28

TEHRAN (IQNA)-Ufaransa imeendeleza sera zake dhidi ya Uislamu na Waislamu kwa kuanzisha mpango wa kufunga msikiti mmoja katika mji wa Beauvais kwa muda wa miezi sita kutokana na kile kilichodaiwa ni hotuba zenye misimamo mikali msikitini hapo.
Habari ID: 3474678   Tarehe ya kuchapishwa : 2021/12/15

TEHRAN (IQNA)- Polisi nchini Canada imemkamata mtu mmoja Jumatatu baada ya mzoga kutupwa nje ya msikiti katika eneo la Vaudreuil-Dorion hivi karibuni.
Habari ID: 3474674   Tarehe ya kuchapishwa : 2021/12/14

TEHRAN (IQNA)- Wakuu wa serikali ya Tunisia wametangaza azma ya kuinua hadhi ya Msikiti wa Al Zaytuna katika ulimwengu wa Kiislamu.
Habari ID: 3474650   Tarehe ya kuchapishwa : 2021/12/07

TEHRAN (IQNA)- Maafisa wa Palestina wametaka Shirika la Umoja wa Mtaifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) lianzishe uchunguzi kuhusu uchimbuaji unaofanywa kinyume cha sheria na Israel katika mji wa Quds (Jerusalem).
Habari ID: 3474644   Tarehe ya kuchapishwa : 2021/12/05

TEHRAN (IQNA)- Msikiti wa Imam Ali huko Ponta Grossa nchini Brazil umehujumiwa Ijumaa na watu wenye chuki dhidi ya Uislamu, wametangaza wasimamizi wa msikiti huo.
Habari ID: 3474615   Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/29

TEHRAN (IQNA)- Idhini imetolewa kwa ajili ya kujenga Msikiti na Kituo cha Kiislamu cha Mji wa Limerick nchini Ireland.
Habari ID: 3474603   Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/26

TEHRAN (IQNA)- Mtu asiyejulikana anayeaminikwa kuwa ni mwenye chuki dhidi ya Uislamu ameushambulia msikiti mmoja huko Cologne, magharibi mwa Ujerumani mapema Ijumaa.
Habari ID: 3474581   Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/20

TEHRAN (IQNA)- Wakuu wa Uturuki wameamua kupunguza makali ya sheria ambazo zinatumika misikitini katika wakati huu wa janga la COVID-19.
Habari ID: 3474553   Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/13

TEHRAN (IQNA)- Zaidi ya lita milioni 1.2 za maji ya Zamzam zimesambazwa miongoni mwa wanaofanya ziara katika Msikiti Mtakatifu wa Makka (Masjid al-Haram) katika kipindi cha miezi mitatu iliyopita.
Habari ID: 3474552   Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/13

TEHRAN (IQNA) - Msikiti Mkuu wa Glasgow, Scotland, ambao unatambuliwa kuwa moja ya misikiti ya kijani zaidi duniani kwa maana kuwa unazingatia utunzaji mazingira katika shughuli zake, sasa utaanza kutumia nishati ya jua kikamilifu.
Habari ID: 3474535   Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/09

TEHRAN (IQNA)- Msikiti mpya umefunguliwa hivi karibuni katika mji mkuu wa Zambia, Lusaka kwa lengo la kuwahudumia Waislamu na pia kuelimisha watu wa nchi hiyo kwa ujumla kuhusu Uislamu.
Habari ID: 3474525   Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/06

TEHRAN (IQNA)- Wanajeshi wa utawala wa Kizayuni wa Israel wamebomoa msikiti wa Wapalestina katika mji wa Duma, kusini mwa eneo linalokaliwa kwa mabavu na utawala huo la Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.
Habari ID: 3474520   Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/05

TEHRAN (IQNA) Kwa mara nyingine, Utawala wa Kizayuni wa Israel unawazuia Waislamu Wapalestina kuingia Msikiti wa Nabii Ibrahim AS katika mji wa Al Khalil (Hebron) ulio katika eneo Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan, linalokaliwa kabavu na utawala huo ghasibu.
Habari ID: 3474497   Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/31

TEHRAN (IQNA)- Maafisa wa polisi nchini Nigeria wametangaza habari ya kuuawa Waislamu 18 waliokuwa wanasali Msikitini huko kaskazini mwa nchi hiyo.
Habari ID: 3474476   Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/26

TEHRAN (IQNA)- Sherehe za kukumbuka kuzaliwa Mtume Muhammad SAW maarufu kama Milad un Nabii au Maulidi zimefanyika Jumapili jioni katika msikiti wa kihistoria wa Al Nuri nchini Iraq ambao unajengwa upya baada ya kuharibiwa vibaya na magaidi wa ISIS au Daesh.
Habari ID: 3474438   Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/18