iqna

IQNA

gaidi
Ripoti
IQNA-Wakuu wa mahakama nchini Iraq wametangaza kuwa familia ya Abu Bakar al-Baghdadi, kinara wa zamani wa genge la ki gaidi la Daesh (ISIS) imesailiwa baada ya kurejeshwa Iraq kutoka nje ya nchi.
Habari ID: 3478367    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/17

Jinai ya Kigaidi
IQNA-Watu wasiopungua 94 wameuawa shahidi na makumi ya wengine kujeruhiwa kufuatia mashambulio mawili ya kigiadi katika mji wa Kerman kusini mashariki mwa Iran. Taarifa zinasema yamkini idadi ya waliofariki na majeruhi ikaongezeka.
Habari ID: 3478141    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/01/03

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA)- Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ametilia mkazo wajibu wa kutiwa adabu na kupewa adhabu isiyoepukika wote waliofanya na kuamrisha mauaji ya ki gaidi ya mwanasayansi wa Kiirani, Dk. Mohsen Fakhrizadeh.
Habari ID: 3473403    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/11/28

TEHRAN (IQNA) –Mahakama nchini New Zealand imemhukumu kifungo cha maisha jela gaidi Brenton Tarrant baada ya kupatikana na hatia ya kuwaua Waislamu 51 wakati wa swala ya Ijumaa mwezi Machi mwaka jana katika mji wa Christchurch.
Habari ID: 3473108    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/08/27

TEHRAN (IQNA) - Watu 26 wameuawa na makumi ya wengine kujeruhiwa nchini Thailand baada ya kupigwa risasi kiholela na mwanajeshi mmoja wa nchi hiyo katika mji wa Nakhon Ratchasima.
Habari ID: 3472454    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/02/09

TEHRAN (IQNA)- Gaidi raia wa Australia aliyefanya mauaji ya umati dhidi ya Waislamu katika mji wa Christchurch huko New Zealand amefikishwa kizimbani kujibu mashtaka.
Habari ID: 3471968    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/05/22

Watu wasiopungua 11 wameuawa na makumi ya wengine kujeruhiwa baada ya bomu kulipuka ndani ya msikiti mmoja katika eneo la Radwaniyah kusini magharibi mwa mji mkuu wa Iraq, Baghdad.
Habari ID: 3470264    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/04/23

Waislamu watano wa madhehebu ya Shia wameuawa nchini Saudi Arabia kufuatia hujuma ya kundi la ki gaidi la Daesh au ISIS katika majlisi ya maombolezo ya siku 10 za Muharram.
Habari ID: 3386096    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/10/17

Waislamu 26 wamepoteza maisha baada ya ma gaidi wa kundi la kitakfiri la Boko Haram kulipua bomu ndani ya msikiti mmoja katika mji wa Maiduguri kaskazini mashariki mwa Nigeria.
Habari ID: 3309578    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/05/31

Walimwengu wanaendelea kulaani hujuma ya kundi la ki gaidi na Kitakfiri la ISIS au Daesh dhidi ya msikiti wa Msikiti wa Imam Hussein AS katika mji wa Dammam mashariki mwa Saudi Arabia.
Habari ID: 3309278    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/05/30

Jumuiya na taasisi mbalimbali za kimataifa na kiraia zimeendelea kulaani mauaji yaliyofanywa Alkhamisi iliyopita na kundi la ki gaidi la al Shabab dhidi ya wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Garissa nchini Kenya.
Habari ID: 3099045    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/04/06