LIGI

IQNA

IQNA – Mchezaji wa Ufaransa, Sacha Bouy, alivutia hisia wakati wa sherehe za ubingwa wa Ligi ya Uturuki za klabu yake Galatasaray, alipohudhuria hafla ya kukabidhiwa kombe akiwa amebeba bendera ya Palestina.
Habari ID: 3482254    Tarehe ya kuchapishwa : 2026/05/18

IQNA – Uamuzi wa nyota wa soka wa Hispania, Lamine Yamal, kupeperusha bendera ya Palestina wakati wa gwaride la ushindi wa Barcelona katika La Liga umeibua wimbi kubwa la uungwaji mkono duniani.
Habari ID: 3482237    Tarehe ya kuchapishwa : 2026/05/13

IQNA – Licha ya kuonywa, baadhi ya wafuasi wa timu ya taifa ya Uhispania walisikika wakipaza kauli ya kudhalilisha Uislamu wakati wa sare ya Jumanne dhidi ya Misri—kitendo kilichomkasirisha mshambuliaji wa Barcelona, Lamine Yamal.
Habari ID: 3482111    Tarehe ya kuchapishwa : 2026/04/01

TEHRAN–(IQNA) -  Ligi Kuu ya Soko Uingereza(England)-EPL-, imewaruhusu wachezaji Waislamu kufungua suamu ya Mwezi Mtukufu waRamadhani kati kati ya mechi.
Habari ID: 3473862    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/04/30