iqna

IQNA

zawawi
Taazia
TEHRAN (IQNA)- Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amejiunga na maafisa wengine wa Iran katika kutoa mkono wa pole kufuatia kifo cha balozi wa miaka mingi na mkongwe wa Palestina, hapa nchini Iran. Balozi Salah al Zawawi alifariki dunia Jumatatu akiwa na umri wa miaka 85 katika hospitali moja ya hapa mjini Tehran.
Habari ID: 3476600    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/02/21

Rais wa Iran apokea vitambulisho vya balozi wa Palestina, asema
TEHRAN (IQNA)- Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amepokea vitambulisho vya balozi mpya wa Palestina mjini Tehran na kusisitiza kuwa: "Umoja na mashikamano wa makundi na mirengo yote ya Palestina ni siri ya kupata ushindi katika mapambano dhidi ya utawala wa Kizayuni wa Israel."
Habari ID: 3474907    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/02/08

Balozi Salah al Zawawi
TEHRAN (IQNA)-Balozi wa Palestina nchini Iran amesema kuwa, vita vya siku 12 vilivyomalizika hivi karibuni baina ya utawala wa Kizayuni na wanamapambano wa Palestina, vimefungua mlango wa kuangamizwa kikamilifu Israel.
Habari ID: 3473961    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/05/30