iqna

IQNA

IQNA – Jumuiya ya Waislamu Duniani (MWL) imekaribisha uamuzi wa mahakama ya Uingereza kumtia hatiani mtu aliyeteketeza moto nakala ya Qur’ani Tukufu mjini London. 
Habari ID: 3480807    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/06/08

IQNA – Mbio za Marathon za London zilikumbwa na vurugu baada ya waandamanaji kuitaka serikali ya Uingereza kuweka vikwazo kamili vya biashara dhidi ya Israel. 
Habari ID: 3480606    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/04/28

IQNA – Mwanaume aliyachoma nakala ya Qur'ani Tukufu nje ya ubalozi mdogo wa Uturuki katikati ya London siku ya Alhamisi ameachiliwa huru kwa dhamana.
Habari ID: 3480226    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/02/16

IQNA – Mtu aliyerekodiwa akivunjia heshima nakala ya Qur'ani Tukufu nje ya Ubalozi wa Uturuki katikati ya London alishambuliwa na mpita njia.
Habari ID: 3480224    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/02/15

Waungaji Mkono Palestina
IQNA - Mji mkuu wa Uingereza,  London siku ya Jumamosi ulikuwa eneo la mjumuiko mkubwa ulioandaliwa na waandamanaji wanaounga mkono Palestina.
Habari ID: 3479840    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/02

Qiraa
IQNA - Qari wa Misri Ahmed al-Sayyid al-Qaytani alishika nafasi ya kwanza katika kategoria ya qiraa au usomaji Katika Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani nchini Uingereza wiki iliyopita.
Habari ID: 3479717    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/11/08

Watetezi wa Palestina
IQNA - Watu katika mji mkuu wa Uingereza wa London walifanya maandamano siku ya Jumamosi, wakitaka kusitishwa kwa vita vya mauaji ya halaiki vya utawala wa Israel dhidi ya Gaza. Zaidi ya watu 30,000 walishiriki katika maandamano ya kupaza sauti ya mshikamano na wapalestina wanaodhulumiwa katika Ukanda wa Gaza.
Habari ID: 3479619    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/20

Harakati za Qur'ani
IQNA - Wakfu wa Restu wa Malaysia unatazamiwa kutia saini makubaliano ya Mradi wa Wakfu kwa lengo la kusambaza nakala milioni moja za Qur'ani Tukufu kote Uingereza.
Habari ID: 3479612    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/18

Sekta ya Halal
IQNA - Mji mkuu wa Uingereza wa London utakuwa mwenyeji wa tamasha kubwa zaidi la chakula cha halal duniani kwa mwaka wake wa tisa baadaye mwezi huu.
Habari ID: 3479482    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/09/24

IQNA - Kituo cha Kiislamu cha Uingereza kitaandaa sherehe kusherehekea kumbukumbu ya kuzaliwa kwa Bintiye Mtume Muhammad (SAW), Bibi Fatima Zahra (SA).
Habari ID: 3478123    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/12/31

Mwezi wa Ramadhani
TEHRAN (IQNA)- Jumba la Makumbusho ya Victoria na Albert la London limeaandaa mkutano kwa mnasaba wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3476623    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/02/25

Chuki dhidi ya Uislamu
TEHRAN (IQNA)- Uchunguzi mpya umebaini kuwa, karibu asilimia 50 ya misikiti yote nchini Uingereza imekumbana na hujuma za chuki dhidi ya Uislamu katika kipindi cha miaka mitatu iliyopita.
Habari ID: 3475436    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/06/28

TEHRAN (IQNA)- Waislamu wa London wanasubiri kwa hamu tamasha la chakula na ununuzi linalotarajiwa kabla ya kuanza kwa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani mwaka huu - na takriban watu 20,000 watahudhuria.
Habari ID: 3475073    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/03/24

TEHRAN (IQNA)- Kijana mmoja ambaye ni imamu na msomaji Qur'ani nchini Uingereza amepoteza maisha baada ya kudungwa kisu katika eneo la Tower Hamlets mjini London.
Habari ID: 3474534    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/09

TEHRAN (IQNA)- Mji mkuu wa Uingereza, London, hivi sasa ni mwenyeji wa maonyesho makubwa na ghali zaidi ya Kiislamu ambayo yanaangazia kikamilifu maisha ya binamu yake Mtume Muhammad SAW, Imam Ali AS.
Habari ID: 3474412    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/11

TEHRAN (IQNA) - Mameya wa miji miwili ya Canada ambayo imeshuhudiwa hujuma dhidi ya Waislamu wamemtumia barua waziri mkuu Justin Trudeau wakitaka kuitishwe kikao cha kujadili chuki dhidi ya Uislamu.
Habari ID: 3474044    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/06/26

TEHRAN (IQNA) – Misikiti ya London Mashariki nchini Uingereza imeanza kuadhini kupitia vipaza sauti katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani ili kuwasaidia Waislamu wajihisi kufungamana na misikiti ambayo imefungwa kwa muda kuzuia kuenea ugonjwa wa COVID-19.
Habari ID: 3472752    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/05/10

TEHRAN (IQNA) – Siku ya Kimataifa ya Quds (Jerusalem) mwaka huu itaadhimishwa kwa njia ya intaneti kutokana na mlipuko wa ugonjwa wa corona.
Habari ID: 3472710    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/04/27

TEHRAN (IQNA)-Tamasha la Chakula Halal limefanyika mjini London kwa mafanikio kati ya Agosti 19-20.
Habari ID: 3471135    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/08/21

TEHRAN (IQNA)-Mwislamu ameuawa Jumatatu usiku baada ya gaidi kuhujumu Msikiti mjini London Uingereza huku Waislamu wakikosoa vyombo vya habari na serikali kwa ubaguzi baada ya tukio.
Habari ID: 3471026    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/06/19