kyrgyzstan

IQNA

IQNA – Kwa ndugu zetu Waislamu wenye ulemavu wa macho katika maeneo ya kusini mwa Kyrgyzstan, kizuizi sasa kimeondoka; Kitabu Kitukufu cha Allah kiko mikononi mwao, tayari kwa kusomwa na kutafakariwa.
Habari ID: 3482422   Tarehe ya kuchapishwa : 2026/06/30

IQNA – Mashindano ya Tatu ya Kitaifa ya Qur'an nchini Kyrgyzstan yametamatika rasmi kwa hafla maalum iliyofanyika siku ya Jumatano.
Habari ID: 3481438   Tarehe ya kuchapishwa : 2025/10/31

Mashindano ya Qur'ani
IQNA - Kyrgyzstan imeandaa mashindano ya kitaifa la kuhifadhi Qur'ani Tukufu kwa wasichana, yanayoshirikisha washiriki 270 katika duru ya awali.
Habari ID: 3479383   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/09/04

Mashindano ya Qur'ani
TEHRAN (IQNA) - Rais wa Kyrgyzstan, Sadyr Japarov, amekutana na mwakilishi wa nchi hiyo aliyeibuka mshindi wa mashindano ya hivi karibuni ya kimataifa ya Qur'ani nchini Saudi Arabia.
Habari ID: 3476184   Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/02

TEHRAN (IQNA) – Duru ya kwanza ya mashindano yay a kitaifa ya wanawake itafanyika nchini Kyrgyzstan.
Habari ID: 3474698   Tarehe ya kuchapishwa : 2021/12/20

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullahil Udhma Sayyid Ali Khamenei amesema kuwa, kupinga madola ya kibeberu duniani ni msingi wa Kiislamu.
Habari ID: 3358524   Tarehe ya kuchapishwa : 2015/09/06