iqna

IQNA

modi
Waislamu India
TEHRAN (IQNA)- Serikali ya India yenye misimamo ya kufurutu ada imefuta historia ya watawala wa Kiislamu katika vitabu vya masomo na kuzidi kuthibitisha kwamba, inafuatilia kwa nguvu zote siasa za kukabiliana na Waislamu pamoja na historia yao.
Habari ID: 3476921    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/04/27

Waislamu India
TEHRAN (IQNA) - Wanaume 11 waliohukumiwa kifungo cha maisha jela kwa ubakaji na mauaji ya mwanamke Mwislamu mjamzito na familia yake wakati wa ghasia mbaya katika jimbo la Gujarat nchini India wameachiliwa, na hivyo kuzua hasira dhidi ya serikali ya utaifa wa Kihindu nchini humo.
Habari ID: 3475636    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/08/17

Hali ya Waislamu India
TEHRAN (IQNA) - Taasisi ya haki za binadamu ya Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) imelaani vitendo vya kibaguzi dhidi ya Waislamu nchini India.
Habari ID: 3475404    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/06/21

TEHRAN (IQNA)- Wataalamu wa haki za Umoja wa Mataifa wametaka kukomeshwa kwa mashambulizi ya mtandaoni "ya kuchukiza dhidi ya wanawake na ya kimadhehebu" dhidi ya mwanahabari Muislamu nchini India, wakiomba mamlaka kuchunguza unyanyasaji huo.
Habari ID: 3474966    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/02/23

TEHRAN (IQNA)- Video zinazowaonyesha viongozi wa kidini wa Kihindu nchini India wakitoa wito wa mauaji ya halaiki dhidi ya Waislamu zimezua hasira na wito madai ya kuchukuliwa hatua dhidi ya wahusika.
Habari ID: 3474719    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/12/25