iqna

IQNA

IQNA-Omar al-Hadi, mchoraji wa maandishi kaligrafia wa Morocco mwenye umri wa miaka 60, ameushinda ulemavu wa mwili wa maisha yake kwa kuandika aya zote za Qur'ani Tukufu yote kwenye ngozi ya mbuzi.
Habari ID: 3480689    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/05/16

Kadhia ya Palestina
IQNA-Makumi ya maelfu ya wananchi wa Morocco wamejitokeza katika kona zote za nchi hiyo ya kaskazini mwa Afrika kushiriki maandamano ya kuunga mkono kadhia ya Palestina na kupinga mpango wa Rais Donald Trump wa Marekani kuhusu Gaza.
Habari ID: 3480221    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/02/15

IQNA - Shule za kijadi za Qur'ani Tukufu nchini Morocco ambazo zilianzia mamia ya miaka iliyopita zimedumisha jukumu lao muhimu kama vituo vya elimu ya kidini.
Habari ID: 3479071    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/07/05

Harakati ya Hizbullah na Kombe la Dunia Qatar
TEHRAN (IQNA)- Naibu Katibu Mkuu wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon, Sheikh Naim Qassem ametuma ujumbe kwenye mtandao wa kijamii wa "Twitter" ambapo ameipongeza Morocco kwa ushindi wa timu ya kandanda ya nchi hiyo dhidi ya Uhispania hiyo jana na kufuzu kuingia robo fainali ya mechi za Kombe la Dunia zinazoendelea nchini Qatar.
Habari ID: 3476211    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/07

TEHRAN (IQNA)- Watu wa Morocco wametoa wito kwa Wizara ya Wakfu na Masuala ya Kiislamu nchini humo irejeshe Misahafu katika misikiti ya nchi hiyo.
Habari ID: 3474805    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/14