tanzania - Ukurasa 5

IQNA

Majaji katika Mashindano ya 33 ya Kimataifa ya Qur'ani ya Iran wametangaza kuwa qarii mshiriki kutoka Tanzania amepata nafasi bora zaidi kwa mtazamo wa 'Saut na Lahn' katika usomaji wake wa Qur'ani Tukufu.
Habari ID: 3470317   Tarehe ya kuchapishwa : 2016/05/18

Waislamu nchini Tanzania wametaka iundwe kamati ya kimataifa kuchunguza maafa ya hivi karibuni huko Mina karibu na mji mtukufu wa Makka ambapo zaidi ya Mahujaji 5,000 walipoteza maisha.
Habari ID: 3377983   Tarehe ya kuchapishwa : 2015/10/03

Jumuiya ya Waislamu wa Kishia Tanzania, AfroShia Muslim Community, inapanga maandamano ya amani kwa mnasaba wa Siku ya Kimataifa ya Quds kwa lengo la kulaani jinai dhidi ya Wapalestina na pia kuunga mkono jitihada za amani duniani.
Habari ID: 3322431   Tarehe ya kuchapishwa : 2015/07/03

Wanafunzi wa madrassah za mji mkuu wa Tanzania, Dar es Salaam wameshiriki katika mashindano ya kuhifadhi Qur'ani katika Masjid Hudaa eneo la Mbagala.
Habari ID: 3308477   Tarehe ya kuchapishwa : 2015/05/27

Baadhi ya Waislamu katika nchi za Iraq, Uturuki, Qatar, Misri, Saudi Arabia na Bahrain leo wanasherehekea sikukuu ya Idul Fitr baada ya kutangazwa rasmi mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhani katika nchi hizo.
Habari ID: 1434339   Tarehe ya kuchapishwa : 2014/07/28

Tarjama ya Kiswahili ya Nah-ul-Balagha imechapishwa kwa mara ya kwanza kwa hisani ya Kituo cha Utamaduni cha Jamhuri ya Kiislamu ya Iran nchini Tanzania.
Habari ID: 1424341   Tarehe ya kuchapishwa : 2014/06/30

Mashindano ya ۳۱ ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu yamemalizika leo Jumatatu hapa Tehran bada kuendelea kwa muda wa wiki moja.
Habari ID: 1413796   Tarehe ya kuchapishwa : 2014/06/02