Watetezi wa Qur'ani Tukufu
TEHRAN (IQNA)- Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres ameijibu barua aliyoandikiwa na Kiongozi wa juu wa kidini wa Waislamu wa madhehebu ya Shia nchini Iraq kuhusu kuvunjiwa heshima Qur'ani Tukufu katika nchi za Uswidi na Denmark.
Habari ID: 3477349 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/07/28
Watetetezi wa Qur'ani Tukufu
SANAA (IQNA) - Maandamano makubwa yalifanyika Sana'a, mji mkuu wa Yemen, kulaani unajisi wa hivi majuzi wa maeneo matakatifu ya Kiislamu nchini Uswidi na Denmark.
Habari ID: 3477346 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/07/26
Watetezi wa Qur'ani Tukufu
CAIRO (IQNA) - Kufuatia matukio ya mara kwa mara ya kuvunjiwa heshima Qur'ani Tukufu nchini Uswidi na Denmark, Kituo cha Kiislamu cha Al-Azhar cha Misri kimetoa wito kwa Waislamu na nchi za Kiislamu kususia bidhaa za nchi hizo mbili za Ulaya.
Habari ID: 3477345 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/07/26
Watetezi wa Qur'ani Tukufu
NEW YORK (IQNA) – Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa jana Jumanne lilipitisha azimio la kulaani aina zote za kuvunjiwa heshima vitabu vitakatifu likitambua vitendo vya aina hiyo kuwa ni ukiukaji wa sheria za kimataifa.
Habari ID: 3477341 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/07/26
Watetezi wa Qur'ani Tukufu
QATAR (IQNA) -Supamaketi kubwa nchini Qatar imeondoa bidhaa zote za Uswidi kwenye rafu zake - na kutoa msimamo wa kulaani kuvunjiwa heshima Qur'ani Tukufu katika nchi hiyo ya Skandinavia, kwa mujibu wa ripoti za vyombo vya habari vya ndani.
Habari ID: 3477340 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/07/25
Watetezi wa Qur'ani Tukufu
TEHRAN (IQNA)- Waislamu wa Ghana wametoa wito wa kufanyika maandamano ya kimataifa ya kulaani uchomaji wa Qur'ani wakati huu wa maombolezo ya Muharram.
Habari ID: 3477339 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/07/25
Watetezi wa Qur'ani Tukufu
TEHRAN (IQNA)-Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa kutoa leseni ya kuidhalilisha na kuivunjia heshima Qur'ani Tukufu ni kinyume na madai ya uhuru wa kusema na ni kielelezo cha "ujinga mamboleo".
Habari ID: 3477331 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/07/24
Watetezi wa Qur'ani Tukufu
TEHRAN (IQNA)- Waislamu katika nchi mbalimbali duniani ikiwemo Iran, Iraq, Lebanon na Nigeria wamefanya maandamano makubwa na kulaani kitendo cha kuvunjiwa heshima Qur'ani Tukufu nchini Sweden.
Habari ID: 3477329 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/07/24
Watetezi wa Qur'ani Tukufu
BAGHDAD (IQNA)- Wizara ya Mambo ya Nje ya Iraq imetangaza kuwa, Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) inapanga kufanya kikao cha dharura ili kujadili vitendo vya mara kwa mara vya kuvunjiwa heshima Qur'ani Tukufu barani Ulaya.
Habari ID: 3477328 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/07/23
Watetezi wa Qur'ani Tukufu
BEIRUT (IQNA)- Katibu Mkuu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon ameyataka mataifa ya Kiarabu na Kiislamu kukata uhusiano wao wa kidiplomasia na Uswidi (Sweden) baada ya kushuhudiwa matukio ya kuvunjiwa heshima Qur'ani Tukufu katika nchi hiyo.
Habari ID: 3477327 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/07/23
Uchambuzi
TEHRAN (IQNA) Kwa mara ya pili katika kipindi cha wiki kadhaa za karibuni, wahusika wa kuchoma moto Qur'ani Tukufu huko Uswidei wamekivunjia heshima kitabu hicho cha Mwenyezi Mungu kwa ruhusa ya polisi ya nchi hiyo na baada ya kupewa kibali cha kuandamana dhidi ya Uislamu katika mji mkuu wa nchi hiyo, Stockholm.
Habari ID: 3477322 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/07/22
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA)- Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa, kutovukiwa adabu matukufu ya Waislamu hasa Qur'ani Tukufu huko nchini Uswidi ni tukio chungu na ni njama hatari sana akisisitiza kuwa, aliyefanya jinai hiyo lazima aadhibiwe, na maulamaa wote wa Kiislamu wanaafikiana katika hilo.
Habari ID: 3477321 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/07/22
Watetezi wa Qur'ani Tukufu
TEHRAN (IQNA)- Wananchi Waislamu wa Iran leo wamefanya maandamano makubwa maeneo yote ya nchi nzima baada ya Sala za Ijumaa kulaani kuvunjiwa heshima tena Qur'ani Tukufu nchini Uswidi kitendo ambacho kilifanyika kwa ulinzi kamili wa jeshi la polisi la nchi hiyo ya eneo la Skandinavia barani Ulaya.
Habari ID: 3477318 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/07/21
Watetezi wa Qur'ani Tukufu
TEHRAN (IQNA)- Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amemuandikia barua Antonio Guterres, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, akimtaka achukue msimamo mkali dhidi ya vitendo vya kuvunjiwa heshima Qurani Tukufu.
Habari ID: 3477317 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/07/21
Watetezi wa Qur'ani Tukufu
TEHRAN (IQNA)-Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran imemuita balozi wa Uswidi mjini Tehran kulalamikia hatua ya serikali ya nchi hiyo ya Ulaya Magharibi ya kuruhusu kuvunjiwa heshima Qur'ani Tukufu.
Habari ID: 3477316 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/07/21
Khatibu wa Sala ya Ijumaa Tehran
TEHRAN (IQNA)- Imam wa muda wa Sala ya Ijumaa iliyosaliwa leo hapa mjini Tehran ameilaani serikali ya Uswidi kwa kuruhusu kuvunjiwa heshima tena Qur'ani Tukufu na amewataka Waislamu duniani kuchukua hatua za kuifanya nchi hiyo ya Ulaya Magharibi ijute kwa jinai yake hiyo.
Habari ID: 3477315 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/07/21
Watetezi wa Qur'ani Tukufu
BAGHDAD (IQNA)- Wananchi wa Iraq waliokuwa na ghadhabu wameuvamia ubalozi wa Uswidi mjini Baghdad na kuchoma moto sehemu moja ya ofisi za ubalozi huo, kulalamikia kibali cha pili kilichotolewa na serikali ya Stockholm cha kuruhusu kuvunjiwa heshima Qurani Tukufu katika nchi hiyo ya Ulaya.
Habari ID: 3477309 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/07/20
Kutetea Qur'ani Tukufu
CAIRO (IQNA) - Wizara ya Awqaf ya Misri itakuwa na programu maalum ziitwazo 'Ijumaa ya Qur'ani' kila wiki ili kukabiliana na vitendo vya kuvunjiwa heshima Qur'ani Tukufu nchini Uswidi.
Habari ID: 3477306 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/07/19
Kuutetea Uislamu
TEHRAN (IQNA)- Wabunge wa Jordan katika barua waliyoiandikia serikali ya nchi hiyo ya Kiarabu wamelaani kitendo cha kuvunjiwa heshima Qur'ani Tukufu hivi karibuni nchini Uswidi na kutoa wito wa kususia bidhaa za Uswidi.
Habari ID: 3477297 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/07/17
Mazungumzo ya kidini
STOCKHOLM (IQNA) – Mwanamume aliyeapa kuchoma Torati na Biblia nje ya Ubalozi wa utawala haramu wa Israel katika mji mkuu wa Uswidi, Stockholm, alisema Jumamosi alichagua kutochoma moto maandiko ya kidini, vyombo vya habari vya Uswidi vimeripoti.
Habari ID: 3477291 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/07/16