IQNA – Toleo la tatu la Mashindano ya Kimataifa ya Ulaya ya Kuhifadhi Qur’ani kwa washiriki wa umri mkubwa limehitimishwa mjini Rijeka, Croatia, ambapo Muhammad Abdi kutoka Sweden (Uswidi) alitwaa nafasi ya kwanza.
Habari ID: 3480717 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/05/21
IQNA– Wanaume wawili wamepatikana na atia ya kuvunjia heshima nakala ya Qur'ani Tukufu na kila mmoja kutozwa faini ya kroner za Denmark 10,000 (sawa na dola 1,500) huko Denmark.
Habari ID: 3480696 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/05/17
IQNA – Tendo la kutusi na kudhalilisha nakala za Qur’ani Tukufu katika mataifa ya Magharibi kwa kisingizio cha kulinda uhuru wa kujieleza limekuwa likirudiwa mara kadhaa katika miaka ya hivi karibuni.
Habari ID: 3480510 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/04/08
IQNA - Mwanasiasa wa siasa kali za mrengo wa kulia wa Uswidi na Denmark Rasmus Paludan atakata rufaa dhidi ya hukumu aliyopewa wiki iliyopita na mahakama ya Uswidi kwa kuivunjia heshima Qur'ani.
Habari ID: 3479739 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/11/12
Chuki dhidi ya Uislamu
IQNA - Mwanasiasa wa siasa kali za mrengo wa kulia wa Denmark amehukumiwa kifungo cha miezi minne jela na mahakama ya Uswidi kwa kuchochea chuki za kikabila kwa kuchoma moto Qur'ani Tukufu.
Habari ID: 3479709 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/11/06
Chuki dhidi ya Uislamu
IQNA - Rasmus Paludan mwanasiasa wa siasa kali za mrengo wa kulia wa Denmark na Uswidi ambaye aliivunjia heshima Qur'ani Tukufu ameshtakiwa kwa mara kadhaa nchini Uswidi (Sweden) ambapo sasa mekataa kufika mahakamani.
Habari ID: 3479599 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/15
Chuki dhidi ya Qur'ani
IQNA - Uswidi (Sweden) itawafikisha mahakamani wanaume wawili walioivunjia heshima Qur'ani Tukufu mara kadhaa wakati wa maandamano mwaka jana, waendesha mashtaka wa nchi hiyo ya Skandinavia wametangaza.
Habari ID: 3479349 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/08/29
Chuki dhidi ya Uislamu
IQNA - Uswidi (Sweden) imemshtaki mwanamume wa miaka 42 kutoka Denmark kwa uchochezi dhidi ya jamii moja (Waislamu) na matusi siku ya Jumatano, waendesha mashtaka walisema katika taarifa.
Habari ID: 3479250 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/08/09
Chuki dhidi ya Uislamu
IQNA-Mji wa Malmö nchini Uswidi au Sweden kwa mara nyingine umeshuhudia kkuvunjiwa heshima Qur'ani Tukufu. Kitendo hicho cha kuvunjia heshima Qur'ani Tukufu kimefanywa kwa ulinzi kamili wa polisi wa nchi hiyo na pia usimamizi wa jukwaa wa Wazayuni.
Habari ID: 3478768 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/05/04
Chuki dhidi ya Uislamu
IQNA - Inaonekana hakuna nia nchini Uswidi ya kukomesha vitendo vya kuvunjia heshima Qur'ani Tukufu, vitendo ambavyo vimewasikitisha na kuwakasirisha Waislamu kote ulimwenguni.
Habari ID: 3478747 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/04/28
Muiraqi
IQNA - Norway imekataa ombi la hifadhi la Salwan Momika, mkimbizi kutoka Iraq ambaye aliivunjia heshima Qur'ani Tukufu mara kadhaa nchini Uswidi katika miezi iliyopita. Ripoti za awali zilieleza kuwa Momika alifariki akiwa Norway lakini imebainika kuwa ripoti hizo hazikuwa sahihi.
Habari ID: 3478679 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/04/13
Harakati za Qur'ani
IQNA - Taasisi moja ya Kiislamu nchini Iran imetangaza kuwa imekamilisha tafsiri ya Kiswidi ya Qur'ani Tukufu katika hatua ya "kupambana na ujahilia" au ujingakufuatia matukio kadhaa ya kuvunjiwa heshima Qur'ani nchini humo mwaka jana.
Habari ID: 3478639 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/04/06
Chuki dhidi ya Uislamu
IQNA - Msikiti mmoja katika mji mkuu wa Uswidi wa Stockholm umekuwa ukilengwa na mashambulizi ya chuki dhidi ya Uislamu kwa zaidi ya mwaka mmoja, huku tukio la hivi punde likitokea Jumatano wakati waumini wa Kiislamu walipoona ukuta wa msikiti ukiwa umechorwa Swastika ambayo ni nembo ya wanazi na maandishi ya "waue Waislamu "
Habari ID: 3478402 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/23
Chuki dhidi ya Uislamu
IQNA-Mahakama ya Uhajiri ya Uswidi (Sweden) imetangaza kwamba, mtafuta hifadhi wa Iraq, ambaye amefanya vitendo kadhaa vya kuivunjia heshima Qur'ani Tukufu, atafukuzwa nchini humo.
Habari ID: 3478324 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/09
Watetezi wa Qur'ani Tukufu
IQNA - Kituo cha Kiislamu cha Al-Azhar cha Misri kimepongeza hatua ya Denmark ya kupiga marufuku vitendo vya kuvunjiwa heshima Qur'ani Tukufu nchini humo na kutarajia nchi nyingine za Ulaya zitafanya hivyo.
Habari ID: 3478021 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/12/11
Chuki dhidi ya Uislamu
STOCKHOLM (IQNA) - Mamlaka za Uswidi zimeamua kumfukuza raia wa Iraq ambaye alivunjia heshima nakala za Qur'ani Tukufu katika maandamano ya hadhara katika miezi ya hivi karibuni.
Habari ID: 3477796 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/10/27
Chuki dhidi ya Uislamu
STOCKHOLM (IQNA) - Polisi wa Uswidi wamewakamata watu 15 ambao walijaribu kumzuia mtu mwenye msimamo mkali asichome Qur'ani Tukufu huko Malmo.
Habari ID: 3477544 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/09/04
Chuki dhidi ya Uislamu
TEHRAN (IQNA)--Waziri wa Sheria wa Uswidi, Gunnar Stromer, ameonya kuhusu hali ya hivi sasa ya usalama nchini mwake na kusema kwamba hali yetu ni ya giza sana hivi sasa baada ya kuvunjiwa heshima Qur'ani Tukufu.
Habari ID: 3477531 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/09/01
Watetezi wa Qur'ani Tukufu
STOCKHOLM (IQNA) - Mwanamume mmoja ambaye alikuwa akiandamana kupinga mtu mwenye misimamo mikali aliyekuwa akichoma moto Qur'ani Tukufu mbele ya Msikiti wa Stockholm alizuiwa na polisi waliovalia kiraia.
Habari ID: 3477496 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/08/25
Watetezi wa Qur'ani Tukufu
TEHRAN (IQNA) – Idadi ya wasomaji Qur'ani Tukufu kutoka nchi mbalimbali za Kiislamu katika jumbe tofauti za video wamelaani vitendo vya kuvunjia heshima Qur’ani Tukkufu barani Ulaya, wakisisitiza kwamba hatua hizo zitashindwa kudhoofisha hadhi tukufu ya Kitabu hicho Kitukufu.
Habari ID: 3477485 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/08/24