Chuki dhidi ya Uislamu barani Ulaya
TEHRAN (IQNA) - Rais wa Iran amekashifu kudharauliwa kwa Qur'ani Tukufu na kusema ni dharau kwa Dini za Abrahamu (Ibrahimu )
Habari ID: 3476468 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/01/26
Chuki dhidi ya Uislamu
TEHRAN (IQNA)- Kiongozi wa Waislamu wa Madhehebu ya Shia nchini wa Bahrain Sheikh Isa Qassim amelaani vikali kitendo cha kuchomwa moto Qur'ani Tukufu hivi karibuni katika nchi za Ulaya.
Habari ID: 3476466 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/01/26
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA)- Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ametoa taarifa kufuatia kuvunjiwa heshima Qur'ani Tukufu katika nchi kadhaa za Ulaya na kusisitiza kuwa: "Kuvunjiwa heshima Qur'ani Tukufu kiwendawazimu chini ya nara ya 'uhuru wa maoni' ni ishara kuwa uistikbari unalenga Uislamu na Qur'ani Tukufu."
Habari ID: 3476465 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/01/26
Kuvunjiwa heshima Qur’ani Tukufu Ulaya
TEHRAN (IQNA) - Kituo cha Kiislamu cha Al-Azhar cha Misri kimetoa wito wa kususia bidhaa za Uswidi na Uholanzi ili kukabiliana vitendo viovu vya kuvunjiwa heshima Qur'ani Tukufu katika mataifa hayo ya Ulaya hivi karibuni.
Habari ID: 3476461 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/01/25
Chuki dhidi ya Uislamu
TEHRAN (IQNA) – Baada ya kuvunjiwa heshima Qur’ani Tukufu nchini Uswidi mwishoni mwa juma, kulikuwa na kitendo kingine cha kufuru kilichotekelezwa na mmoja wa vinara wa harakati za chuki dhidi ya Uislamu Ulaya, wakati huu nchini Uholanzi.
Habari ID: 3476456 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/01/24
Chuki dhidi ya Uislamu
TEHRAN (IQNA) – Kufuatia kuvunjiwa heshima Qur'ani Tukufu nchini Uswidi (Sweden) kikundi cha vijana kusini mashariki mwa Uturuki kilisambaza maua ya waridi makanisani.
Habari ID: 3476449 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/01/23
Waislamu Sweden
TEHRAN (IQNA) – Msikiti katika mji wa kusini mwa Uswidi (Sweden) wa Jönköping umehujumiwa na kuharibiwa kwa mara ya tatu katika kipindi cha miezi mitatu iliyopita.
Habari ID: 3475759 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/10
Waislamu Uswidi
TEHRAN (IQNA) - Chama kipya cha Waislamu nchini Uswidi (Sweden)kinataka kupiga marufuku kudhalilishwa kwa Qur'ani Tukufu.
Habari ID: 3475744 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/06
Kuvunjiwa heshima Uislamu
TEHRAN (IQNA) - Waziri wa zamani wa Mambo ya Nje wa Uswidi (Sweden) Jan Eliasson ametoa wito wa kukomesha uchomaji moto wa Qur'ani Tukufu unaofanywa na wafuasi sugu wa siasa kali za mrengo wa kulia, akibainisha kuwa kitendo kama hicho ni sawa na uhalifu chini ya sheria za Uswidi.
Habari ID: 3475647 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/08/19
Chuki dhidi ya Uislamu
TEHRAN (IQNA)- Rasmus Paludan, mwanasiasa mwenye msimamo mkali mwenye uraia wa Sweden na Denmark ambaye alizindua msafara wa kuteketeza moto Qur’ani Tukufu nchini Sweden hivi karibuni amekariri jinai yake hiyo yenye chuki dhidi ya Uislamu katika bustani ya jiji la Landskrona kusini mwa Sweden.
Habari ID: 3475310 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/05/29