IQNA

10:17 - January 09, 2021
News ID: 3473539
TEHRAN (IQNA) – Mskiti wa Agung Sudirman (Masjid Agung Sudirman) ni msikiti wenye mvuto na mandhari ya kuvutia katika mji wa Denpasar, ambao ni mji mkuu wa jimbo la Bali, nchini Indonesia.

Huu ni msikiti mkubwa zaidi Bali na una muundo wa kipekee wenye kuta chache mno. Sababu ni kuwa jimbo la Bali ni kisiwa ambacho kawaida hakina majira ya baridi kali na hivyo wanafadhilisha msikiti usiwe na kuta nyingi ili kuwezesha hewa kuingia na kutoka bila kutumia feni n.k

 
 
Tags: indonesia ، msikiti
Name:
Email:
* Comment:
* captcha: