IQNA

Askari wa kulinda amani wa Umoja wa Mataifa akisoma Dua Tawassul + Video

11:33 - September 07, 2021
Habari ID: 3474267
TEHRAN (IQNA)- Dua Tawwasul ni kati ya dua zenye fadhila ambazo zimenukuliwa katika kitabu cha Biharul Anwar cha Allamah Majlisi.

Waislamu wa madhehebu ya Shia huisoma dua hii katika misikiti, majumbani au kumbu za ibada. Mitandao ya kijamii ya Indoneisa imesambaza klipu ya askari wa kulinda amani wa Umoja wa Mataifa raia wa nchi hiyo akisoma dua hiyo.

3995410/

Kishikizo: dua tawassul indonesia
captcha