jinai za israel - Ukurasa 4

IQNA

Jinai za Israel
IQNA-Rais wa Venezuela amezilaani Marekani na Umoja wa Ulaya kwa kutofanya lolote kukomesha mauaji "ya kutisha" na ya Kinazi ya Israel dhidi ya Wapalestina.
Habari ID: 3478899   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/05/29

Muqawama
IQNA-Abu Obeida, Msemaji wa Brigedi za Izz ad-Din al-Qassam, tawi la kijeshi la Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS ametangaza kuwa, wapiganaji wa brigedi hizo wamekinasa kwa kukiwekea chambo chini ya handaki kikosi cha jeshi la Kizayuni na kufanikiwa kuwaangamiza, kuwajeruhi na kuwakamata mateka askari kadhaa wa jeshi hilo katika eneo la kambi ya Jabalia kaskazini mwa Ukanda wa Gaza.
Habari ID: 3478891   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/05/27

Jinai za Israel
IQNA-Jeshi katili la utawala wa Kizayuni wa Israel limeshambulia kwa makombora kambi ya watu waliolazimika kuhama makazi yao na kuhamia eneo lililotengwa kuwa na usalama huko Rafah, na kuwaua shahidi Wapalestina wasiopungua 40, wengi wao wakiwa ni wanawake na watoto.
Habari ID: 3478890   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/05/27

Jinai za Israel
IQNA-Zaidi ya watoto 15,000 wanaripotiwa kuuawa shahidi na jeshi la utawala haramu wa Israel katika Ukanda wa Gaza huko Palestina.
Habari ID: 3478832   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/05/16

Jinai za Isarel
Mkuu wa timu ya Madaktari Wasio na Mipaka (MSF) ametahadharisha kuwa mazingira ya kuidhaminia Gaza maji safi, chakula na dawa za matibabu yamefika marhala hatari na kwamba hatua ya kukifunga kivuko cha Rafah kunaifanya hali ya wakazi wa ukanda huo kuwa mbaya zaidi.
Habari ID: 3478796   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/05/09

Jinai za Israel
IQNA-Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) imeitaka jamii ya kimataifa ichukue hatua na kuubebesha dhima utawala wa Kizayuni wa Israel, kutokana na jinai na mauaji ya kimbari yanayofanywa na utawala huo haramu dhidi ya Wapalestina wa Ukanda wa Gaza.
Habari ID: 3478780   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/05/06

Jinai za Israel
IQNA-Afisa wa Umoja wa Mataifa anasema uharibifu uliosababishwa na vita vya Israel dhidi ya Ukanda wa Gaza haujawahi kuonekana tangu Vita vya Pili vya Dunia, huku akikadiria kuwa ujenzi mpya wa eneo hilo la Palestina unaweza kuchukua miaka 80 na kugharimu hadi dola bilioni 40.
Habari ID: 3478771   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/05/04

Jinai za Israel
IQNA: Wakati kukiwa na ongezeko la wito wa kimataifa kwa Israel kujizuia na mashambulizi zaidi Gaza na ripoti za Mei Mosi za mashambulizi mengine mabaya, wahudumu wa kibinadamu wa Umoja wa Mataifa wamesisitiza kuhusu athari mbaya zinazoendelea za vita hiyo na haja ya kuhakikisha njia za kuaminika za usambazaji wa misaada kwa watu wanaohitaji kwa udi na uvumba zinapatikana.
Habari ID: 3478756   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/05/02

Jinai za Israel
IQNA-Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Afrika Kusini imetoa mwito wa kufanyika uchunguzi wa haraka na wa kina kuhusu makaburi ya umati yaliyogunduliwa katika Ukanda wa Gaza.
Habari ID: 3478737   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/04/26

Jina za Israel
IQNA - Msemaji wa Umoja wa Mataifa ameitaja ripoti kuhusu kugunduliwa kwa makaburi ya halaiki huko Gaza kuwa ni ya kushtusha, huku ushahidi wa awali ukionyesha utawala haramu wa Israel umehusika katika jinai hiyo.
Habari ID: 3478724   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/04/23

Jinai za Israel
IQNA - Takriban miili 190 imetolewa kwenye kaburi la umati katika Hospitali ya Nasser katika mji wa Khan Younis kusini mwa Ukanda wa Gaza.
Habari ID: 3478717   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/04/22

Jinai za Israel
IQNA - Umoja wa Mataifa umeonya kuhusu hali mbaya katika Ukanda wa Gaza ambapo watu wanahangaika maisha kila siku, ukitangaza kuwa utazindua ombi la kimataifa la dola bilioni 2.8 kwa Gaza na Ukingo wa Magharibi unaokaliwa kwa mabavu.
Habari ID: 3478694   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/04/17

Jinai za Israel
IQNA-Kwa mujibu wa Wizara ya Afya ya Palestina, idadi ya mashahidi wa mashambulizi ya utawala wa Kizayuni wa Israel huko Gaza imefikia 33,545 huku utawala huo katili ukiendeleza vita vya mauaji ya kimbari dhidi ya eneo hilo lililozingirwa.
Habari ID: 3478672   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/04/12

Jinai za Israel
IQNA-Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina, Hamas, amethibitisha habari ya kuuawa shahidi watoto na wajukuu zake katika shambulio la kinyama la utawala wa Kizayuni na akasema: "kwa machungu haya na kwa damu hii tunajenga matumaini, mustakbali na uhuru wa watu wetu, piganio letu na taifa letu".
Habari ID: 3478669   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/04/11

Jinai za Israel
IQNA-Viongozi wa dunia wameendelea kulaani kitendo cha wanajeshi wa Israel kuwaua Wapalestina 116 na kuwajeruhi wengine zaidi ya 760 waliokuwa wakisubiri msaada wa chakula katika Ukanda wa Gaza uliozingirwa siku ya Alhamisi.
Habari ID: 3478438   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/02

Jinai za Israel
IQNA - Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Al-Mustafa kinapanga kuandaa kongamano la kimataifa la "Miaka 75 ya kukaliwa kwa mabavu Palestina".
Habari ID: 3478437   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/01

Jinai za Israel
IQNA-Rais Luiz Inácio Lula da Silva wa Brazil amesema kuwa, kinachofanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel kwenye Ukanda wa Ghaza ni mauaji ya KIMBARI.
Habari ID: 3478407   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/24

Kadhi ya Palestina
IQNA-Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) imelaani mashambulizi yanayoendelea kufanywa na jeshi katili la Israel dhidi ya watu wa Ukanda wa Gaza na upanuzi wa mashambulizi ya kiholela ya utawala huo kwenye mji wa Rafah, kusini mwa ukanda huo.
Habari ID: 3478355   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/15

Jinai za Israel
IQNA-Wizara ya Wakfu na Masuala ya Dini katika Ukanda wa Gaza imesema mashambulizi ya vikosi vya utawala katili wa Israel dhidi ya eneo hilo lililozingirwa yamebomoa na kuharibu misikiti 1,000 tokea Oktoba 7 mwaka uliopita hadi sasa.
Habari ID: 3478234   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/01/22

Jinai za Israel
IQNA-Utawala wa Kizayuni wa Israel umewauwa maprofesa 94 wa vyuo vikuu, mamia ya walimu, na maelfu ya wanafunzi katika Ukanda wa Gaza katika muda wa miezi mitatu, kwa mujibu wa shirika moja huru la kutetea haki za binadamu.
Habari ID: 3478233   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/01/22